Nipeni ushauli fasta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nipeni ushauli fasta

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Complicator EM, Jan 6, 2012.

 1. Complicator EM

  Complicator EM Senior Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Baada ya kufika nyumbani nikitokea safari niliamua kumwandikia msg dada aliyenihudumiachakula kwenye kantini ya chuo kikuu fulani hapa tz. Msg yangu ilisomeka hivi


  " Dada ninapenda kukufahamisha ya kuwa nimefika salama, ninashukuru sana kwa huduma yako, kwa kweli siku ile jioni nili-enjoy sana nikirudi huko sitaenda kwa mtu mwningine nitakutafuta wewe mwenyewe. Kwa kweli umenifurahisha sana"

  YALIYONIKUTA BAADA YA MSG HIYO KUONWA NA MKE WANGU NI SIRI YANGU, Lkn yule mama naye kanipigia cm kasema kuna timbwili zito nyumbani kwake.
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kwanini mlihudumiana wakati mnajua kila mtu ni familyperson?
   
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Ati ndo mawazo ya mtu wa Chuo Kikuu......
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  another story
  on the making....................THIS IS UNREALISTIC ISSUE.
   
 5. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,156
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Kwa sababu ni jukwaa la utani let me take it as a joke
   
 6. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #6
  Jan 7, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,855
  Likes Received: 1,297
  Trophy Points: 280
  Hivi mbona hivi. wa2 2nafungua ili tucheke, 2naambiwa 2toe ushauri. Why why whx??
   
 7. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #7
  Jan 7, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo hapo ndio umechekesha au???
   
Loading...