Huyu ungemfanyaje?

Huyu ungemfanyaje?

Spear_

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Posts
1,890
Reaction score
1,542
Ikitokea unangalia mpira, dakika chache mpira kwisha mnafungwa halafu refa anashangia.... bonge la bao......bonge la bao.... utafanyaje?
 
Ikitokea unangalia mpira, dakika chache mpira kwisha mnafungwa halafu refa anashangia.... bonge la bao......bonge la bao.... utafanyaje?
 
Kuna id humu zinanipa wasiwasi, subiri nizifanyie research nitarudi
 
Wapi moderator wa ban?
Watu hawafuati terms and conditions za jf!
 
Back
Top Bottom