Shoga veterani na kituko kingine !

Judgement

JF-Expert Member
Nov 13, 2011
10,327
4,779
Akiwa shoga maarufu na aliekubuhu, kwake kuchukua waume wa wenyewe ilikua kama kumsukuma cha-pombe. (mlevi).
Miongoni mwa waume wa watu aliokua akitimbwirika nao ni pamoja na mme wa Mama Jeni, maarufu kwa jina la Baba Jeni.
Aidha Baba Jeni ndiyo Mw/kiti serikali za mitaa, katika eneo hilo.
Siku ya siku Mama Jeni zikampata data mahsusi kua mumewe ana muda mrefu anamuangukia J'4 , akafanya uchunguzi wake na kujiridisha kabisa 100% kwamba taarifa hizo ni za kweli.
Ndipo alipomtokea J'4 uso kwa macho. Habari zikajiri hivi ;
> Mama Jeni ; wewe mwanahizaya, mjaa laana mkubwa, Mbwa kasoro mkia! Yaani mji wote huu hukuona bwana wa kuchukua hadi uje unichukulie mume wangu? Balaaa we > Jeifoo ; Muangalie vile ! Eti mke wa Mw/kiti ! Hovyoo! Tena shombo tupu! Mumeo kwangu kafata malavidavi babuwee! Hembu jiangalie wewe unamiliki sehemu mbili tigo na ya kawaida lakini bwanaako kakutosa!.
Mi nnamiliki sehemu moja tu (tigo) lakini mumeo ndiyo kafa kaoza ! Hajijui hajitambui, mie ndo J'4 bwaana!
 
Halafu hivi vichekesho vinavyohusu ushoga vimekuja kwa kasi sana toka juzi, naona wanalao jambo katika huu mwaka.
 
Excellent yu wapi jamani jamii inapotoka huku
Jaguar saidia ndg zako huku
 
hii ni upumbavu jamani na huyu anayesema haichekeshi hii inawapa ni changamoto kujua hii ishu sio nzuri acha undizi
 
haichekeshi....mayb mashoga ndo watakaocheka.

Naskitika sijajisajili Jf kwa ajili ya kukuchekesha wewe! Una status gani ? Ya kunisababishia hilo? Otherwise am respect you at ordinary capacity! As a J'f membar! But if you lough or not it's not of my duty!
 
Naskitika sijajisajili Jf kwa ajili ya kukuchekesha wewe! Una status gani ? Ya kunisababishia hilo? Otherwise am respect you at ordinary capacity! As a J'f membar! But if you lough or not it's not of my duty!

when it comez to gayz to hell with yo respect,cz i dont give respect to f*kn gayz....
 
naskitika sijajisajili jf kwa ajili ya kukuchekesha wewe! Una status gani ? Ya kunisababishia hilo? Otherwise am respect you at ordinary capacity! As a j'f membar! But if you lough or not it's not of my duty!

peleka jukwaa la mashoga j4 forum
 
Back
Top Bottom