Zuzu na ukimwi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zuzu na ukimwi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by ng'wanankamba, Jan 6, 2012.

 1. ng'wanankamba

  ng'wanankamba JF-Expert Member

  #1
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  ZUZU wa Kinaijeria aishiye huko Marekani alimpigia simu mama yake. Maongezi yao yalikuwa kama ifuatavyo:

  ZUZU: Mama, nina virusi vya UKIMWI!

  Mama: Mwanangu, ninakusihi, ninakusihi, ninakusihi sana, usirudi nyumbani kabisa.

  ZUZU: Kwa nini mama?

  Mama: Endapo utarudi nyumbani, mkeo pia ataathirika. Mkeo akiathirika atamwathiri pia mdogo wako. Mdogo wako akishaathirika atamwathiri pia msichana wetu wa kazi. Ujuwe mwanangu, msichana wetu wa kazi naye atamwathiri pia baba yako. Baba yako naye atamwathiri mdogo wangu, mdogo wangu atamwathiri mumewe ambaye naye ataniathiri mimi pia. Mimi nikishaathirika nitamwathiri mtunza bustani wetu. Mtunza bustani wetu akishaukwaa atamwambukiza pia mdogo wako wa kike. Mdogo wako akishaupata tu, ujuwe kijiji kizima kimeupata!

  Mwanangu, kwa jina la Mungu, tafadhali, tafadhali kiokoe kijiji chetu. Ninakusihi tena mwanangu, USIRUDI TENA NYUMBANI!
   
 2. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #2
  Jan 6, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Haa! Mdogo wake pia atakuathiri wewe, bora asirudi.
   
 3. Complicator EM

  Complicator EM Senior Member

  #3
  Jan 6, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 155
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ZUZU wa Kinaijeria aishiye huko Marekani alimpigia simu mama yake. Maongezi yao yalikuwa kama ifuatavyo:

  ZUZU: Mama, nina virusi vya UKIMWI!

  Mama: Mwanangu, ninakusihi, ninakusihi, ninakusihi sana, usirudi nyumbani kabisa.

  ZUZU: Kwa nini mama?

  Mama: Endapo utarudi nyumbani, mkeo pia ataathirika. Mkeo akiathirika atamwathiri pia mdogo wako. Mdogo wako akishaathirika atamwathiri pia msichana wetu wa kazi. Ujuwe mwanangu, msichana wetu wa kazi naye atamwathiri pia baba yako. Baba yako naye atamwathiri mdogo wangu, mdogo wangu atamwathiri mumewe ambaye naye ataniathiri mimi pia. Mimi nikishaathirika nitamwathiri mtunza bustani wetu. Mtunza bustani wetu akishaukwaa atamwambukiza pia mdogo wako wa kike. Mdogo wako akishaupata tu, ujuwe kijiji kizima kimeupata!
   
 4. Myakubanga

  Myakubanga JF-Expert Member

  #4
  Jan 6, 2012
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 5,781
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  HAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAAHAHAHAHAHAHHAHAHHAAHHAHAHAHHAHA
  HAHHAHAHHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHAHHAHHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!
  Nirudishie mbavu zangu!
   
 5. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #5
  Jan 7, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,155
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  Ila kweli bora umsisitizie asirudi kabisa maana yule dada ake mdogo ataniathiri na mimi ..............................:lol:.................................
   
Loading...