Manusura wa Mafuriko Wakataa Msaada wa Kondomu

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
Sikia Hii.................

Nimeshawishika kuamini kwamba si kila watoa misaada wana nia njema, mintaarafu wengi wao hususan wafanyabiashara hii huwa ni fursa pia kwao kujitangaza, hivi ndivyo ilivyotokea kwa kampuni moja ya kuzalisha mipira ya kiume ilipoamua kupeleka msaada wa kondomu kwenye kambi za manusura na kujikuta zikikataliwa kwa madai kwamba
KAMBI HIZO HAZINA FARAGHA kwa hiyo msaada huo haukua muafaka kwao kwa wakati huo!!!!

AMA KWELI KILA MCHUMA JANGA HULA NA WA KWAO!!!
 
Tanzania bila UKIMWI inawezekana...
LAKINI SIO TZ HII !
 
Back
Top Bottom