Unajimu mwaka 2012 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unajimu mwaka 2012

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by DEVINE, Jan 1, 2012.

 1. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #1
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wale wenye anyota za kuku huu ndo mwaka wao wa bahati kwani itakuwa rahisi kwao kuishi bila presha kwani watakuwa wepesi kusahau vituko vya serekali mwaka huu.
  Wenye nyota za panya wawe makini,kwani njia zao zote za vificho zitafunuka mwaka huu.
  Wenye nyota za sungura aitakuwa si tofauti sana na panya ila ujanja wao pekee uliobaki ni kuvaa nguo za magunia kuonesha wanajutia ujanja wao wa mwaka jana la sivyo waame nchi,kama inashindikana waokoke.
  Wenye nyota za risasi,mikuki na chui mwaka huu wataoa na kuolewa sana,au watapata wapenzi wengi sana cha muhimu wawe makini sana kwani tabia ya kujamihiana ovyo ovyo (chomachoma,toboatoboa au kurarua rarua) wawe makini wataukwaa sana ukimwi.
  Wenye nyota za chura huu ndo mwaka wa kurukaruka kamwe usioe au kuolewa mwaka huu kwani utapata wapenzi wengi wa risasi,mkuki na chui.Taadhali inabidi muweke oda ya kondom kiwandani kwa mwaka huu.
  Hayo machache tu,kama unataka kufahamu kuhusu nyota yako uliza .
   
 2. Kibirizi

  Kibirizi JF-Expert Member

  #2
  Jan 1, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 602
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ok niambie kuhusu nyota yangu
   
 3. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #3
  Jan 1, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...Ile ya mbuzi au kunguru?
   
 4. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #4
  Jan 1, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,161
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  vipi mimi mwenye nyota ya mamba nitatoka kweli mtoni mwaka huu
   
 5. N

  Nico jonas Member

  #5
  Jan 1, 2012
  Joined: Nov 26, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wewe uliyepost hii nyota yako ni nini?
   
 6. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #6
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaka jana ulisumbuliwa na mafuriko,si bure mwaka huu ukaukwaa ukame,lol.
   
 7. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #7
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mie nyota yangu cpu,ila nahisi we nyota yako mbuzi maana mwaka huu usipokuwa mbishi hutofanikiwa.
   
 8. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #8
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nyota yangu bundi! Haya niambie mnajimu wetu,vipi shingo itazunguka kama kawa or!?
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Jan 2, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ebwana nijuze yangu ya NDEZI
   
 10. Jewel

  Jewel Senior Member

  #10
  Jan 2, 2012
  Joined: May 1, 2008
  Messages: 155
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  NYOTA YA NYOKA je??
   
 11. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #11
  Jan 2, 2012
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Duh!mimi mambo haya huwa siyaamini hata kidogo!.Mwenye hoja anishawishi!
   
 12. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #12
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tena mwaka huu inabidi utafute kazi ya ulinzi,au kazini kwako ubadili shift ziwe za usiku,kama biashara fungua gesti.Kama inashindikana basi itabidi utafute jiwe la tanzanite na ulivae shingoni na ktk shughuli zote za mchana.
   
 13. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #13
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tatizo nyota yako ni kunguru,yule hata ukimuekea msosi full bandani afugiki ng'o
   
 14. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #14
  Jan 2, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Na mimi nyota yangu ya KICHECHE inasemaje?
   
 15. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #15
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  daah mwaka si wako utakandamizwa sana.
   
 16. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #16
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mmh nahisi wewe ndo mwenye nyota mama ya zile zenye mkosi mwaka huu.
   
 17. DEVINE

  DEVINE JF-Expert Member

  #17
  Jan 2, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 539
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Bahati mbaya haina mdomo,ingekuwa nao ingesema.
   
 18. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #18
  Jan 2, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  asante!
   
 19. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #19
  Jan 2, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Vipi nyota ya nyani ?
   
 20. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #20
  Jan 2, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mh hizi nyota zenu ni noma sana
   
Loading...