JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Mambo ya copy n paste..mlugaluga mmoja alikua hana flash diski.. ka copy file kwenye computer ofisini, kachomoa mouse, kaenda nayo home ili aka paste..
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wazungu walitengeneza mtambo wa kuesabu idadi ya vibaka na wezi katika nchi.mtambo ukaletwa Afrika kufanyiwa majaribio}Nchi ya kwanza ilikuwa Nigeria mtambo ukasoma vibaka&wezi...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
...zipo nyumba mbili za watu wenye hela hapa jirani na ninapokaa...na watoto wakishua wanaishi humo, lakini wanagawa "fuko la mbolea", na wakongwe wa hili eneo wanadai ni shambaboy alimuanzishia...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
pga pcha unapanda basi alaf unaskia harufu ya samaki wa kukaanga..unaangalia huku na kule hakuna ndoo wala box amblo mayb hao samak wamefungashwa humo...njaa kali,samak hujara cku nyng,basi tabu 2pu..
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sijui hii imekuwa culture kwa baadhi ya watu au vipi utasikia ahhhh january bana ngumu sana wengine watakwambia shauri ya ada za watoto wengine watakwambia sijui hili na hli yaani mtu moja mmoja...
1 Reactions
61 Replies
4K Views
A Newly Wed Couple are out at a bar having a drink on their honeymoon. The wife offers to make him a drink and asks the bartender to give A salt shaker, A shot of Baileys And A shot of lime juice...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Lee Redmond Lee Redmond, a woman from Utah who has not cut her nails since 1979, had grown and carefully manicured them to reach a total length of 8.65 m (28 ft 4.5 in), and was listed in the...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Mateja wawili walipelekwa mahakamani kwa makosa ya kubwia unga.Hakimu akawaambia;nitawasamehe kwa sharti moja,nendeni mitaani mkawaelimishe mateja wenzenu waache kutumia madawa ya kulevya.Baada ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
If you could buy the time and given opportunity to go back to your past life , which FIRST thing you will do ??? 2 days ago
0 Reactions
43 Replies
3K Views
wakuu kuna vitu vinaripuka kama mabomu tena. sasa hivi. kuna nini? Mia
0 Reactions
34 Replies
3K Views
He! Kumbe leo sijawasalimia, Asalam aleykum, How are u, Wasinukaa, Ulaileyani, Jore, Hujambo, Mzima, Shikamo, Ikiana, Cheichei, Ulimhola, Ongamshi, Mwadela, Bonjour, τ&#953...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
http://41.59.13.185:88/broadwave.asx?src=1&rate=0 tumia link hii (hapo juu) kusikiliza maubiri ya mwalimu Christopher Mwakasege live, kila siku kuanzia saa 4:30 jioni hadi saa moja usiku...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana JF Naomba mnieleze maana ya hiki kitendawili "TEGA NIKUTEGUE" Na kuna vingine vingi unaweza ukaongezea na unipe maana yake.
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Kwa kweli dada alikuwa anachangamsha sana hili jukwaa. Anajua kufrustrate, kutibua akili za watu. Yaani ni pasua kichwa. Tangu alipoondoka jukwaa hili limepoa na huenda likafa kama kilivyokufa...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Nilituma hii post katika mtandao fulani wa kijamii. "I'm gonna sleep on the veranda tonight." 157,021 Mosquitoes 'Liked' it.
2 Reactions
47 Replies
4K Views
Mambo vipi Wanajamii Forum???Naomba musome hapa kwa makini kisha tujadili katika hili.Juzi nilikuwa nasoma ripoti ya UNDP ya mwaka 2011 kuhusu hali ya maendeleo katika nchi 187 wanachama wa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Pedeshe mmoja alienda na mkewe muziki, akapita binti mzuri akamsalimia, mkewe akamuuliza ,’Yule nani?’ Akajibu ‘Huyo nyumba ndogo yangu’. Mke akaja juu,’Nataka talaka yangu’. Pedeshe akajibu...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
......kama tukitenda dhambi tungekuwa tunapata adhabu hapo hapo, kwa mfano ile unamaliza kuwaza uovu wako tu, unastukia unanyukwa makofi, makonzi na mitama mfululizo huku akupigae humuoni...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
naomba uchangie mawazo yako kuhusu deadline...afu uniambie kibongo bongo imekaaje?na je ina athari kwa maendeleo ya jamii?kiaje?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Najua umenisahau. Naitwa Andekelile Lupakisyo Ambindwile Mwambalakata mtoto wa Afwelile Ambwene Mwakisujeje Mwakasokela anko yake na Asangalwisye Mwalunyasyo rafiki wa Bakangana Bukenja Bukomile...
3 Reactions
25 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…