January.....na kelele za kila mwaka..

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,899
Sijui hii imekuwa culture kwa baadhi ya watu au vipi
utasikia ahhhh january bana ngumu sana

wengine watakwambia shauri ya ada za watoto
wengine watakwambia sijui hili na hli

yaani mtu moja mmoja mpaka makampuni pia...

kama kuna tenda unafuatilia utasikia ahh january aisee..

na hata ambao hawana watoto wa kusomesha january kwao ni hivyo hivyo

swali nalojiuliza ni hili

kwa nini january ndo mwezi unaolalamikiwa zaidi financially while
kila mtu anajua kuwa january itakuwaje kila mwaka?

na je watu wanavyo spend december mpaka kuzidisha matumizi ni haki kulalamika january?..

je wewe january kwako ni tofauti???????????
 
January kwangu iko tofauti sana. Hapa nilipo nasubiri kujikamatia kitika changu cha dola 9,000 za Kimarekani. Mambo ya tax return hayo. IRS imeanza kupokea returns jana tarehe 17 na mimi nime file returns zangu jana hiyo hiyo.

Tarehe 27 ndo watazitumbukiza hela kwenye akaunti yangu! Halafu pia kuna state returns. Dola 1700 zitatumbukizwa kwenye akaunti yangu Ijumaa hii, tarehe 20.

Kwa hiyo Januari kwangu ni mwezi wa neema sana.
 
January kwa wafanya biashara mwanzo wa weeks unaenda lipa mapato pale TRA, Kama mmiliki wa magairi jiandae mambo lukuki kama TRA, mara sticker za usalama wa barabarani, mara Bima, mara ukaguzi mgogo mdogo na Sumatra na mambo kibao! Vivo hivo kama una vianzo vingine vya biashara... Kwa watu ambao tuna familia na responsibilities ni wakati wa kulipa ada za watoto, kuandaa sare na facilities zote ambazo zahitajika, ukiwa na watoto wawili tu nazaidi na ada sio chini ya Laki kadhaa ama M' or M kadhaa, kijasho kinakutoka. Kinakutoka na wasema next time I will prepare myself sooner lakini bado tu wachemka! lol
 
umenikumbusha aisee
nimeona hata wakenya wana tax returns

nikawa najiuliza bongo haya mambo vipi na lini??????
 
January kwa wafanya biashara mwanzo wa weeks unaenda lipa mapato pale TRA, Kama mmiliki wa magairi jiandae mambo lukuki kama TRA, mara sticker za usalama wa barabarani, mara Bima, mara ukaguzi mgogo mdogo na Sumatra na mambo kibao! Vivo hivo kama una vianzo vingine vya biashara... Kwa watu ambao tuna familia na responsibilities ni wakati wa kulipa ada za watoto, kuandaa sare na facilities zote ambazo zahitajika, ukiwa na watoto wawili tu nazaidi na ada sio chini ya Laki kadhaa ama M' or M kadhaa, kijasho kinakutoka. Kinakutoka na wasema next time I will prepare myself sooner lakini bado tu wachemka! lol

umeona yaani huu mwezi ni balaaa
 
but hii ina maana wananchi wanaumizwa mno....
maana hata Kenya tu wameshashtuka....

Wasiwasi wangu ni mafisadi kupata mianya mingine ya kuwafisadi wananchi!

Na pia ni bora na kuanza kujenga infrastructure kwanza ambayo italifanya zoezi zima liende vizuri. Sasa hivi hata sort of national ID wananchi hawana...au nimekosea?
 
hujakosea sana
mimi naona tuishi kama wahindi tu
tuanze kuinvest huko huko kwa Obama
unaishi bongo but unanunua stocks za google na chevron hivi
na unakuwa kwenye us economy ikibidi,na tax returns za huko huko...lol
hali ikiruhusu....
 
Back
Top Bottom