Pendezzhe na Mkewe!!

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,600
[h=6]Pedeshe mmoja alienda na mkewe muziki, akapita binti mzuri akamsalimia, mkewe akamuuliza ,’Yule nani?’ Akajibu ‘Huyo nyumba ndogo yangu’. Mke akaja juu,’Nataka talaka yangu’. Pedeshe akajibu, ’Powa ntakupa, lakini kumbuka safari za kwenda Uchina na Dubai ndio zitakuwa basi tena, na ishu za kwenda saluni mara mbili kwa wiki utazikosa, sijui utakuwa unatumia gari gani maana sitakuachia gari hata moja’. Mama kakaa kimya. Akapita binti mwingine, Pedeshe kamwambia mkewe ‘Huyo nyumba ndogo ya rafiki yangu’. Mke wa pedeshe akasema,’Mhhh huyu wala siyo mzuri kama nyumba ndogo yetu’[/h]
 
Uuuuuuuuuwiiii....ngoja niende garage nikachomelewe mbavu zangu mbili maana ishakuwa noma kila siku lazima zivunjike,jf bwana.!
 
Hahahahaaaaa kweli patamu imebidi akubali mwenyewe dah maisha matamu sana
 
Qwa qwa qwaaaaa............. Hatimaye mke kaonesha ushirikiano.

U cherish my day men... thanks
 
Pedeshe mmoja alienda na mkewe muziki, akapita binti mzuri akamsalimia, mkewe akamuuliza ,'Yule nani?' Akajibu ‘Huyo nyumba ndogo yangu'. Mke akaja juu,'Nataka talaka yangu'. Pedeshe akajibu, 'Powa ntakupa, lakini kumbuka safari za kwenda Uchina na Dubai ndio zitakuwa basi tena, na ishu za kwenda saluni mara mbili kwa wiki utazikosa, sijui utakuwa unatumia gari gani maana sitakuachia gari hata moja'. Mama kakaa kimya. Akapita binti mwingine, Pedeshe kamwambia mkewe ‘Huyo nyumba ndogo ya rafiki yangu'. Mke wa pedeshe akasema,'Mhhh huyu wala siyo mzuri kama nyumba ndogo yetu'

Halafu tena hii by assakuta same
chekaaaa time.


Pedejee mmoja alienda na mkewe
muziki, akapita binti mzuri akamsalimia,
mkewe akamuuliza ,'Yule nani?'
Akajibu ‘Huyo nyumba ndogo yangu'.
Mke akaja juu,'Nataka talaka yangu'.
Pedeshe akajibu, 'Powa ntakupa, lakini kumbuka safari za kwenda Uchina na
Dubai ndio zitakuwa basi tena, na ishu
za kwenda saluni mara mbili kwa wiki
utazikosa, sijui utakuwa unatumia gari
gani maana sitakuachia gari hata moja'.
Mama kakaa kimya. Akapita binti mwingine, Pedeshe kamwambia
mkewe ‘Huyo nyumba ndogo ya rafiki
yangu'. Mke wa pedeshe
akasema,'Mhhh huyu wala siyo mzuri
kama nyumba ndogo yetu!
 
Bibie hakuwa tena na uchaguzi, hapo ni kumsifu Mume tuuuuu......!!!!!
Ha ha ha haaaa...!!!!!
 
Back
Top Bottom