DEADLINE maana yake ni nn?...je wabongo tuna iyo kitu?

DEADLINE maana yake ni nn?...je wabongo tuna iyo kitu?

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
naomba uchangie mawazo yako kuhusu deadline...afu uniambie kibongo bongo imekaaje?na je ina athari kwa maendeleo ya jamii?kiaje?
 
hebu tafsiri kwa kiswahili hiyo 'deadline' halafu ndo nichangie maana sijui kidhungu mie.
 
Deadline ni muda/siku/tar ya mwisho kukamilisha kitu/kazi fulani.

Sielewi unamaanisha nini kuuliza imekaaje kibongo bongo au kuulizia athari. Athari ipo kwenye kutozingatia deadline na sio kwenye kuwa nayo. Kuwa nayo kunasaidia kumfanya mtu/watu wafanye na kukamilisha wanachotakiwa kwa wakati.
 
dah thanks lizzy,..niliposema imekaaje kibongo bongo, nilitaka kuuliza ivi wabongo tunajua kufuata deadline kweli?shuleni, ofisini na kwingineko...hapo lizzy?
 
dah thanks lizzy,..niliposema imekaaje kibongo bongo, nilitaka kuuliza ivi wabongo tunajua kufuata deadline kweli?shuleni, ofisini na kwingineko...hapo lizzy?
Karibu.

Owwkey nimekusoma. Kusema ukweli sina 'first hand experience' kwahiyo siwezi kusema kwa uhakika, ila kwa nnavyojua waBongo walivyo nadhani haizingatiwi sana. Ndio maana unaona hata serikalini mambo hayaendi. . . hamna discpline ya kazi wala muda.
 
katika baadhi ya sehemu deadline inazingatiwa
mfano nafasi za kazi tarehe ya mwisho kupokea barua
na hii inatokana tu na mtu anakuwa na shida
 
Waulize Wakenya....utachoka wao hutafsiri maneno moja kwa moja...utasikia MSTARI WA KIFO

''Beside James...''
kwao ''Kandoni na James''

''Please help yourself to a bite''
kwao ''Jisaidie kitafunwa''
 
Back
Top Bottom