JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wewe ni kijana mwenye kazi nzuri sana.Unaishi na Mkeo ambapo mungu amewajaalia kupata mtt mmoja wa kike.Siku za hivi karibuni mlitembelewa na jamaa mmoja ambaye mkeo alimtambulisha kwako kama kaka...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
dah nilikuwa nimesahau jamani,leo ni birthday ya mama yangu mpendwa namuombea kwa mungu amjalie kila lililo la kheri katika maisha haya i wish mama upone uwe kama zamani nakumbuka kipindi naenda...
8 Reactions
42 Replies
5K Views
Duh! Jamani hii hali ngumu hata pesa mfukoni haikai ada za shule! Nauli za wanaowahi mashuleni, wakunikopesha hakuna! Natamani hata kujinyonga! Aaaagh!
0 Reactions
5 Replies
957 Views
Wasichana/Wanawake huwa wanapenda kuitana dear, sweet, mpenzi na mengne mengi. Kwa nini wanaume hatuitani hivi!?
0 Reactions
62 Replies
6K Views
Hivi kwa nini ndugu zangu waislamu huwa wanachinja maiti kabla ya kuzika? Nimeuliza ninao wafahamu wakasema kuwa wanakata koo ili kama maiti alichukuliwa msukule wanamuua ili wakose wote yaani...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
1. Bedball(mazoezi ya kitandani). 2. Football. 3. Handball. 4. Valleyball. 5. Basketball. Kwa upande wangu navutiwa na Football hasa ya nchi zilizoendelea. Karibu sana kueleza ni mchezo gani...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
This Student Obtained 0%: What would u have given him ? Q1. In which battle did Napoleon die? * his last battle Q2. Where was the Declaration of Independence signed? * at the bottom of the page...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna masai alikutana na binti mzuri sana wa sura na umbo uzalendo ukamshinda akawa anamuuliza msichana eti we umesaliwa na mutu au imetengeneswa tu na mutu ikawa inasema apa mbado, hapa mbado...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Je wanaJF, umewahi kukutana na watu wenye wivu mkubwa wa kitu ulichonacho?Watu hawa hutumia saikolojia ya kuponda hicho kitu chako ili ujisikie vibaya na kuchukia kumbe wanaonyesha mauwivu yao...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Atttention VEGETARIANS...!! Dear Plant Eaters....!!! Chicken never gave us oxygen.. Chicken never gave us shade .. Loss of chicken never caused Global Warming ... Thn y eat the good plants...
0 Reactions
4 Replies
956 Views
Mmasai alikuwa MC kwenye msiba alipopewa kipaza sauti akasalimia ' MSIBA HOYEEEE'.......MAITI SAFIIIIIIIII.....AMEPENDESA AU HAJAPENDESA..WENYE WIFU IFE KAMA HUYU LAIYONI
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mtoto mmoja alirudi kwao akiwa amenuna kinoma! Mama yake akamuuliza, "Kulikoni?" Mtoto akajibu, "Leo mwalim wa Hesabu hajafika shule!" Mama akafurahi akijua mwanae anapenda sana Hesabu. Akamwambia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mlevi alipanda kwenye gari ake, akaona mipango haikai sawa akapiga simu polisi, maelezo yakawa hivi Mlevi: Halloo! Hapo Polisi Polisi: Yeah una tatizo gani? Mlevi: Nataka kuripoti wizi, nimeibiwa...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Najua umenisahau. Naitwa Andekelile Lupakisyo Ambindwile Mwambalakata mtoto wa Afwelile Ambwene Mwakisujeje Mwakasokela anko yake na Asangalwisye Mwalunyasyo rafiki wa Bakangana Bukenja Bukomile...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Polisi: Nimekuja nyumbani kwako kukupa taarifa kuwa ajali ya gari imetokea, inasemekana mke wako amefariki, naomba twende ukaangalie kama ... utaitambua maiti. Mme mlevi: Pote zea bhana...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu mnamjua huyu dereva? ni maarufu sana hapa town ila sijui kama bado yupo town....anapiga ruti za feri mbagala rangi tatu.... Msela ni chizi yaani chizi haswa.....why? huyu msela...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
JAMANI JANA NILIKUWA NAFURAHIA SANA SHEMEJI ZANGU WALIVYOKUWA VICHWA KIVIPIA KUNA MC MMOJA ALIKUWA ANATANGAZA UWEPO WA WATU WALIOKUWEPO MSIBAN KWA DADAETU REGIA MPAKA INAFURHISHA ""NATANGAZA...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Lol! these statues really happened!!(NO EDITING) And that's how you catch a dumbass! Must have been one of the most liked facebook status ever. (haha hii ata ukifanya leo utawapata watu)...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Makonda Na Majibu Mazuri. Abiria: "Kuna Kiti au unasema panda tu!?"Konda: "We taahira nini,hao wengine wamekaliandoo?! " Abiria: "Embu punguzeni sauti ya redio... "Konda: "Sheria za nchi tu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Back
Top Bottom