houseboys/shambaboys wanatuharibia watoto wetu wa-kiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

houseboys/shambaboys wanatuharibia watoto wetu wa-kiume

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BAGAH, Jan 19, 2012.

 1. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ...zipo nyumba mbili za watu wenye hela hapa jirani na ninapokaa...na watoto wakishua wanaishi humo, lakini wanagawa "fuko la mbolea", na wakongwe wa hili eneo wanadai ni shambaboy alimuanzishia mchezo....(kwa sasa wako form two shule moja maarufu ya wakubwa hapa daslamu)
  hii ni mbaya maana dogo watashindwa kuacha, na sasa km ni BANK imekuwa na matawi..sio ishu ya shambaboy tu, na wadau wengine mtaani wanatupia maana watoto wamezoea!!!
  tuwe makini na hawa watu wajameni , kama wakibanwa saana basi aombe chezo kwa housegirl!!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Hayo yote ni matokeo ya wazazi kutokua na mahusiano na watoto wao. Kuna mada ilianzishwa kuhusu watu wanaoharibu watoto MMU. . ukitaka itafute.

  Alafu 'mfanyakazi wa kiume, kaka wa kazi' ni bora kuliko majina uliyotumia.
   
 3. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #3
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  umetafsiri tu hapo mama....hakuna jipya!!!
   
 4. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2012
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,999
  Likes Received: 2,655
  Trophy Points: 280
  Hii ni hatari sana kwa vijana wetu.
   
 5. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 5,360
  Trophy Points: 280
  unakuta imetolewa shamba huko na kichupa kimejaa,.ukimbaini unamkata govi lake..afu unamuitia mwizi.
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwani nilisema kua nimevumbua majina mapya?

  Kwasababu tu mtu anaweza akamuita msichana demu na akamaanisha msichana haina maana hilo neno demu ni zuri.
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Nikisikia haya mambo napata presha kabisa.
   
 8. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2012
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  We need to come up with a system ya kulea watoto wenyewe au kuwaweka katika vituo vya malezi pale sisi tunapokuwa hatupo nyumbani kama tukienda kazini

  Watoto wa kiume/kike wanakuwa abused sexually majumbani humu, tuwe makini sana
   
 9. ruaaika

  ruaaika Member

  #9
  Jan 19, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na si hao tu, nmeshawahi sikia mahijiano kadhaa ya mashoga, wengi wanakiri kuanzishiwa hiyo tabia na ndugu zao wa karibu walioishi nao utotoni, hasa wajomba, baba wadogo, nk. pia kosa kubwa ni kuruhusu watoto kulala na watu wazima chumba kimoja!
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/208666-tuwe-makini-mafataki-pedofiles-wengi-tunao-majumbani-mwetu.html

  Yani uliyosema ndio yaliyomo kwenye hiyo thread. . .
   
 11. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hii hata mm nina ushahidi wa kutosha ruaaika...hujakosea hata kidogo!!utakuta kijeba kimeshabalehe umri umesonga,hajaoa ana kama 27-30+ analala na dogo ambaye ni teenager, ni rahisi kumshawishi na kuibadil sexual orientation ya dogo totally...
   
Loading...