Hivi hawa Mbu wana nini? Kwanza hawapo kwenye friendlist yangu, ona walichofanya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hawa Mbu wana nini? Kwanza hawapo kwenye friendlist yangu, ona walichofanya.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Consigliere, Dec 14, 2011.

 1. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #1
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,062
  Likes Received: 7,528
  Trophy Points: 280
  [h=6] Nilituma hii post katika mtandao fulani wa kijamii.

  "I'm gonna sleep on the veranda tonight."

  157,021 Mosquitoes 'Liked' it.
  [/h]
   
 2. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #2
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,382
  Likes Received: 306
  Trophy Points: 180
  hapo umekumbuka kumuhesabu na smile..!!? maana na yeye ame LIKE.. :lol:
   
 3. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #3
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  umlaze baby kwa net mkuu ma mbu yaki mlike noma?
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Afu wewe hujaacha tu mangereza yako?
  Ujue mie sina panado ofisini
  Afu mbona kama jana ulinisemesha kiswahili kizuri kabisa

   
 5. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #5
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  umeona kongosho eeh huyu jamaa ni mgumu kweli anzia id yake ebu nisomee mwaya eti ni profesa?
   
 6. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #6
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,062
  Likes Received: 7,528
  Trophy Points: 280
  Sasa mimi nilishakuambia kuwa ndiyo nahudhuria Inglishi kozi, hivyo nafanya exesaizez ili na mimi niwe wel ofu.
   
 7. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #7
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,062
  Likes Received: 7,528
  Trophy Points: 280
  Naona leo na wewe umeamua kugeuka mbu kwa kugonga 'Likes' tu, hata sijui nini amekubaini.
  Jina langu mbona jepesi kutamka kama kupiga vigerere, au kuitikia utamu wa pili pili tu...
   
 8. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #8
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  dah utamu wa pilipili? Kweli wewe ni mgumu ? Yaani huwa sikuelewi kabisa mkuu .eti wewe ni profesa? Source -kongosho
   
 9. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #9
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Consg' Smiles ni moja wa member hapa JF wanaongoza kutoa LIKES' akiwemo na Zumbukuku, Maskin_Jeuri, Daudi Mchambuzi na wengine wengi....
   
 10. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #10
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ahahaaa sis bwana mimi natoa like kwa sababu nawalike sis nisaidie kitu hapa huyu jamaa namlike ila huwa simuelewi anzia kwenye jina lake yupo complex eeh?
   
 11. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #11
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,062
  Likes Received: 7,528
  Trophy Points: 280
  Duh! Professor? Labda....cause hata deep water (Maji Marefu) naye ni Professor.
  But anyways, my shoulders are too weak for such a title and My head is too dormant to posses the the contents of of the title (Professor)
   
 12. Cantalisia

  Cantalisia JF-Expert Member

  #12
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 5,229
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Sio ww peke yako,
  Yani mie huwa naishia kuangalia avatara na kufananisha na mkolon wangu hapa,
  Na nikifanikiwa kukoment ujue nina mkaliman pembeni lol!
   
 13. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #13
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180

  I know dearest.... Kuna watu ni wagumu to the extent akitoa inabidi usome upya what you have written maana inakua ni SURPRISE. Naona one of the reasons inaweza kua inachangiwa na ile mentality kwamba yeye ndio anajua zaidi, kuliko wenzie walo mchangia.....lol
   
 14. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #14
  Dec 14, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180


  Kid sis ambae ndo walau mstaarabu.... lol.... How are you? Missed you. Is life treating you well?
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Siwezi kutamka jina lako
  wala kuliandika
  huwa inabidi niandike kwenye kikaratasi pembeni kwanza

  Kwani wewe ni mwalimu wa neurosajon, au wa fiziks au biology
  English yako ngumu kumezasana

  Anyway cha ajabu nime-LIKE ivo ivo
  Nisipoelewa uzuri huiwa natumia antena
  ninazo nyuma ya maskio kama za mende
   
 16. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #16
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  ahahaaa heri umesema jamaa mgumu kweli huyu
   
 17. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #17
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  You can be anything you want to be
  "We build too many walls and not enough bridges" - Isaack Newton

   
 18. Smile

  Smile JF-Expert Member

  #18
  Dec 14, 2011
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 15,427
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  naona umecopy na kupaste ahahaaa
   
 19. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #19
  Dec 14, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,062
  Likes Received: 7,528
  Trophy Points: 280
  Jamani mara hii mumeshanigeuza mbu? Mbu ndiyo wapo on question, sio mimi.
   
 20. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #20
  Dec 14, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Tatizo huwa anafikiria sana
  Maswali ya why? How? What? kwake ni breakfast
  Nahisi kama ana gari keshalifanyia mabadiliko
  Linaenda kinyuma nyuma
  Sababu anaona si lazima kila gari lende mbele

  Angalia hata signature yake
  It's full of ideologies, principles, theories, psychology, phenomenon, philosophy, experiment, human nature and son on.

   
Loading...