Mateja wawili.

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
Mateja wawili walipelekwa mahakamani kwa makosa ya kubwia unga.Hakimu akawaambia;nitawasamehe kwa sharti moja,nendeni mitaani mkawaelimishe mateja wenzenu waache kutumia madawa ya kulevya.Baada ya mwezi mmoja wale mateja wakarudi kwa hakimu kutoa report ya kazi yao.>>>> TEJA#1;Mimi nimefanikiwa kuwashawishi mateja 17,niliwaambia kwamba kabla hawajaanza kubwia unga,size ya ubongo wao ilikuwa '0',baada ya kuanza kubwia unga size ya ubongo wao imekuwa 'o'. TEJA#2;Mimi nimefanikiwa kuwashawishi mateja 276,niliwaambia kwamba size za mik*ndu yao ni 'o',lakini watakapodakwa wanabwia unga,wakitupwa jela,size za mik*ndu yao zitakuwa '0' because wataenda kufi...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom