mabomu tena dar

mabomu tena dar

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
27,921
Reaction score
63,641
wakuu kuna vitu vinaripuka kama mabomu tena. sasa hivi. kuna nini? Mia
 
itakuwa pancha ya gari au llisije likawa hilo jumba jeupe limelipuliwa na al shabab
 
Dah...naona tangu jana unawaza mabomu tu, hayo yatakuwa maputo yanaendelea kupasuka.
 
sina imani na walala makabulini kesho yake wanaamukia ofisini. mia
 
Hizo ni flash back za gongo la mboto.
 
Season ya kirisimasi imeisha, walopamba maputo wanayalipua.
 
Kumbe ni kambi ya Tandale wanalipua...



Wanalipua mafenesi
 
yatakuwa mafataki ya Swansea wanashingilia kumfunga Arsenal jana
 
Kama ingekuwa kweli mabom ungejificha uvunguni. Chiiiiil.
 
Back
Top Bottom