Unadhani ingekuwaje kama ingekuwa ni unapata stahili yako on the spot. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unadhani ingekuwaje kama ingekuwa ni unapata stahili yako on the spot.

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Consigliere, Dec 24, 2011.

 1. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #1
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,076
  Likes Received: 7,566
  Trophy Points: 280
  ......kama tukitenda dhambi tungekuwa tunapata adhabu hapo hapo, kwa mfano ile unamaliza kuwaza uovu wako tu, unastukia unanyukwa makofi, makonzi na mitama mfululizo huku akupigae humuoni.
  Unadhani status ya uovu ingekuwa vp?
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  toa yako kwanza, afu ntakwambia kitu
   
 3. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,807
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  hahaha nahisi watu wangekuwa na makovu ya kunyukwa lol uovu ungekuwa mchache.
   
 4. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Ha ha ha ha haaah!!! Nimecheka sana baada ya kusoma hapa.....
  Nadhani wengine wangekufa kabisa...
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  Ulivyo na nywele za mawazo ungeshabaki kipara kabisa

   
 6. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  peke yangu ningebaki sina kovu wala kipele. Lol
   
 7. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,076
  Likes Received: 7,566
  Trophy Points: 280
  unarudi nyumani una manundu na vumbi mwilini, nguo zimechafuka, watoto wanakwambia "mama/baba ulikuwa unawaza mambo mabaya eeh!"
  mume/mke naye anaku tight "yaani wewe kila siku kuadhibiwa tu, sasa leo utanieleza hayo uyawazayo kila siku."
   
 8. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  tungekuwa hatuna maouvu sababu kila unaepishana nae kavimba vimba tu..
   
 9. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,076
  Likes Received: 7,566
  Trophy Points: 280
  umesimama kwenye public na upo serious na watu wanakuona mtu wa maana...ghafla wanasikia mtu ananyukwa makofi, wanageuka waangalie wanakuona mtu mzima tayari umepigwa mtama na upo kimo cha ndama ukiwa safarini kwenda ardhini, unafika kama gunia...watu wote wanakuangalia, mzee unainuka huku unaona ona noma, unajifuta vumbi huku vimachozi vinakulengalenga kwa mbaali...then unaongea kwa kuona soo "....naonewa tu"
  mwisho watu wakiondoka unalia kwa sauti ili kupunguza machungu ...
   
 10. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #10
  Jan 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,076
  Likes Received: 7,566
  Trophy Points: 280
  Au tungekuwa tuna vaa helmet na manguo kama wale wanaanga. Sijui na mitamama tungeikwepaje? Au binaadam tungegundua lami/barabara zenye magodoro
   
 11. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #11
  Jan 18, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,076
  Likes Received: 7,566
  Trophy Points: 280
  ...How much time do you have maam?
   
 12. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #12
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mimi nahisi ningegeuka sugu mapemaaaaaaaa!
  Manake mmmmm!
   
 13. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #13
  Jan 18, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  Nimecheka hadi machozi yamenitoka...lol !
   
Loading...