Chit-Chat bila Mpoleee imedorora

Chit-Chat bila Mpoleee imedorora

Polisi

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
2,082
Reaction score
644
Kwa kweli dada alikuwa anachangamsha sana hili jukwaa. Anajua kufrustrate, kutibua akili za watu. Yaani ni pasua kichwa. Tangu alipoondoka jukwaa hili limepoa na huenda likafa kama kilivyokufa kipindi cha usiku wa habari tbc baada ya jerry muro kuondoka. Mimi niko tayari kumnunulia bundle ya mwezi mtandao wowote anaotumia
 
Hapo kwny RED
Duuh! hizi fikra za kimasaburi laivu
au ndo umetumwa umpigie promo??
 
Hata mimi nimemmiss sana mpoleeee...
 
Hapo kwny RED
Duuh! hizi fikra za kimasaburi laivu
au ndo umetumwa umpigie promo??

yaani wewe unawaza masubiri na huo unaotamka neno hili chafu ndo unaoutumia kwa chakula?. Huna maneno mengine ya busara. Jaribu kuheshimu watu hata kama huwajui
 
mi niliuliza yupo likizo? kumbe wengi tunaommisi!
 
Mpoleee, mshikaji kakuzimia sema nae lakini angalia asije akawa kama yule wa GX 100
 
Back
Top Bottom