Nimejikuta napenda sana rangi ya blue is the most preferable colour ....ingawa pia napenda while katika mazingira ya MMU!!
Wewe unapenda rangi gani?
Babu DC!!
Dear Preta
It's your birthday and we can't be there
But we send you a special birthday wish and a little prayer
"We wish that all of your birthday wishes come true,
May you have a great time today...
We jamaa acha dharau nimekutumia Pm juu ya suala la msingi sana kwa uwepo wangu hapa Jf,ila mpaka hivi sasa kimya ata jibu lolote hunipi..ayo sio mambo mchizi wangu,izo habari za kujiskia kavu...
Mpendwa my fellow Jf membar, awali ya yote nakuomba unipe macho na maskio na uvumilivu wako uisome hii story.
Kwa kuyahifadhi majina halisi ya wahusika, nitatumia majina ya kubandika.
Mzee...
Jamani Mtwara kuna mambo. Jamaa mmoja katika ngoma za usiku walikubaliana na mpenzi wake wakutane kichakani kwa maongezi ya faragha. Jamaa akaenda kule kichakani akaona kivuli cha mtu kama kakaa...
Kuna watu mtaani huwa sometime wanakera sana, mkianza kubishana au kubishana kidogo ataanza ooh we mtoto wa mama nini!!, au we toto la mama!!. Sasa anaposema hivi anamaanisha nini, kila mtu si...
mara nyingi tunakutana na vifupisho humu jf, baadhi yake virefu vyake ni hivi:
LOL:Laughing out loud
KISS: Keep it simple,stupid!
IOW: In other words
BTW: By the way
BRB: Be right back
AFK: Away...
Ladies and Gents!!
After a stressful week furahi day is finally here.... Jf online party inaanza strictly from saa mbili, venue: Chit chat... hivyo njoo ukiwa umependeza, bring a date if u can...
Here is the solution to lengthen the life of your mobile battery.
Just switch your mobile off, and thats it you are done. Oh I forgot to mention one more advantage. You will also be able to cut...
pedeshe mmoja akiwa na mkewe walikwenda muziki, binti mzuri alipita na kumsalimu pedeshe. Kuona hivyo mama akapata shaka, basi yakaanza mahojiano
Mama: Yule nani?
Pedeshe: Huyo ni nyumba ndogo...
hospitali moja ya vchaa iliamua kuwatembeza vichaa wao siku moja,sasa katika safari yao wakaamua kupanda ndege,lakini wakati ndege iko angani sana msimamizi wa vichaa hao akaenda chooni lakini...
Katika saloon moja katikati ya mji, kinyozi wa ki Tz akiwa na mteja wake toka DRC alichafukwa na tumbo ghafla, si ndo ushuzi ukamponyoka sasa kuzuga yule kinyozi akamhoji mteja wake: Waonaje hali...
Ni ukweli ulio wazi kabisa kuwa mgomo wa madaktari upo kisiasa zaidi,haiwezekani wawakilishi wa serikali (MAWAZIRI)wanawakataa katika lengo la kuafanya mazungumzo ya kufikia muafaka,kama si kukaa...
nashauri ama kupendekeza pawepo na eneo fulani ambapo wadau mbalimbali hasa wale wenye kuhitaji kukutana na marafiki/wenza wapya, watakutana na iwe mbadala wa kiota cha mtandaoni. Sehemu yeyewe...
In a trial, a lawyer called his first witness, elderly woman and grandmother to the stand.
He approached her and asked, "Mrs Peters, do u know me?"
She responded, "Why, yes, I do know u, Mr...
1. Kung'arisha viatu wakati
unaenda kupiga passport
size,
2. Kukaa kit cha mbele
karibu na dereva halafu
unamwambia konda
shusha,
3. Kumwamsha mgonjwa ili
umpe dawa ya usingizi,
4...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.