nataka kufanya biashara ya transportation.......kipanya/daladala....sijajua ninunue gari gani jamani?mie am not into cars...nimeingia ebay...minibuses...ninazoziona ni ford,ldv sioni toyota hiace nilioizoea lol,mnaojua hizi gari zinafaa???mwisho mwaka gani kuingiza gari hapo bongo...??gari ya 2001 inaweza kuingia???ama ni skrepa???..................thanks.