Sofïa house

Sofïa house

Ziroseventytwo

Platinum Member
Joined
Mar 27, 2011
Posts
9,436
Reaction score
17,908
Wana Jf kuna majengo meng hapa dsm yameandikwa sofia house, nani mmiliki wa majengo hayo.! Mwenye taarifa aiweke hapa.
 
sawa mkuu, lakini ni nani huyu sofia. Sofia mbona wapo wengi. Ungesema huyu ni fulani anafanya 1,2,3 nk

sofia,anampikiaga mme wake chakula,.analala naye kitanda kimoja,anafanya usafi ndani....niendelee
 
Wana Jf kuna majengo meng hapa dsm yameandikwa sofia house, nani mmiliki wa majengo hayo.! Mwenye taarifa aiweke hapa.

Hili kitu sofia house ni kama freemason_yaani lipo kama halipo,....

Anyway:nafikiri ni majengo yanayomilikiwa na mafisadi wa zamani(sio wa sasa kina LA,EL etc...),..mfumo wao ulikuwa kumbambikia sofia hewa....hii ni pamoja na wahindi waliofika long time kitambo hapo mjini....tafakari lakn usithubutu kuchukua hatua.
 
haya yamejengwa na hela haramu za jini sofia.
 
Mmh, mie nilidhani Sofia unyumba kwa waume zenu.
 
Ni madanguro kuna wanawake wanauzwa humo ndani mhusika mkuu ni Sofia
 
Ni ya mhindi flani hivi alimfanyaga mwanae kafara aliyekuwa anasoma shaban robert.The son was so handsome and it is said he was loved more by the dad!
 
Bandungu, cjaona mchangiaji hata m1 mwenye maelezo ya kutosheleza. Kidogo IGWE kajitahidi. Kuna m2 kasema ni madanguru, kuna sofia house hapo chang'ombe, cyo iliyo opposite na veta. Ipo kwenye magodown na viwanda, huko napo wanafanya danguro? Mbona mnakuwa kama c magreter thinker? Kama hujui jambo we potezea tu, c lazima kuchangia.
 
maelezo yangu ni valid,inaelekea na wewe hujui kitu
 
Back
Top Bottom