Wadau AshaDii was a popular figure hapa jamvini...she came up with a big bung. but suddenly vuu kapotea. where's AshaDii? Please come back wherever you are...!
Bibi kizee mmoja alikwenda benki moja maarufu sana hapa nchini ili kuweka fedha zake. Alipofika mapokezi aliuliza.
"Naomba kumwona meneja mkuu wa benki hii"
Mfanyakazi wa mapokezi...
Hebu fuatana nami hapa kwenye aina ya hawa watu.
1. YUKO AMBAYE HAJUI NA HAJUI KAMA HAJUI= (MWELEKEZE)
2. YUKO AMBAYE HAJUI NA ANAJUA KUWA HAJUI= (MFAHAMISHE)
3. YUKO AMBAYE HAJUI NA HATAKI...
Habarini wana JF
Nina swali nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu hizi nyimbo za taarabu. Natanguliza samahani kwa ambaye atakwazika na swali hili.
Swali lenyewe ni hili: Kwa nini hizi nyimbo...
alinitembelea nyumban kwangu toka juzi. Kwa bht mbaya ama nzuri kagundua mm ni IT mkali saana. Nampa mafunzo baada ya wk moja nitamuachia huru.
Golden Mpoleee doc mrajiwa. Mazuri na mpole.
The Six Men in a Woman's Life who turns her on:
1. The Doctor, because he says; "Take your clothes off"
2. The Dentist, because he says; "Open wide"
3. The Milkman, because he says; "Do you...
Ratiba ya mwalimu Christopher Mwakasege inaonesha tarehe 29 Januari 2012 atakuwa Dar es Salaam. Kwa yeyote anayejua juu ya ziara hii ratiba yake na inafanyika wapi naomba anijulishe. Asanteni
Nakuuliza ushawahi?
Kudadadeki... kama hujawahi embu gonga
https://www.jamiiforums.com/sports/135893-tp-mazembe-disqualified-from-african-champions-league-3.html#post1971013
halafu wivu...
Mmasai mmoja alipanda daladala eneo la hospitali kuu Moro. Daladala ilipofika eneo la shan darajani akamwambia konda " elo, imefika shusha hapahapa darajani" Konda akamwambia darajani hatushushi...
mume alimpa talaka mkewe wakaenda mahakamani ili mahakama iamue ni nani anapaswa kuishi na mtoto ?
MKE : akasema mtoto ni wakwangu kwa maana nilibeba mimba miezi 9 nikapata uchungu kujifungua na...
Jamaa anamuuliza rafiki yake ... Hivi hadi sasa una umri gani? ... Rafiki anajibu... Miaka 56... Jamaa anamuuliza tena rafiki yake.... Baba yako mzazi alifariki akiwa na umri gani? .... Jamaa...
Nimeulizwa na Yahoofriends sijapata jibu. Tusaidiane kijibu:
OTEA LISA ATAKUWA KABILA GANI???
utaipata kwa Laki...
John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner...
Tulikuwa tunapiga soga na mshikaji wangu mmoja na kukumbushana enzi zetu kule kijijini. Tutakumbuka jinsi tulivyopenda kwenda ngomani. Kwenye kijiji na Maramba kule Muheza Tanga kuna jamii kubwa...
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika maongezi na Waziri Mkuu wa Uingereza Bw. David Cameron walipokutana mjini Davos pembeni mwa Kongamano la Uchumi la Dunia jana Januari 26, 2012
Huyu mtu sijui karogwa au sijui vipi.....
nunueni magari mengi zaidi ili wawekezaji binafsi wawajengee barabara
Hii kauli yake imeniacha domo wazii.....huyu jamaa hivi yuko siriasi kweli?
Hivi watanzania tumefikia Kutojali muda kiasi hiki?
What the hell is Dakika Sifuri.
Ndio maana ukienda sehemu mbali mbali kupata huduma, ukiuliza bado muda gani unaambiwa Bado Kidogo...
Naomba kujua kama hizi tabia tulizonazo sisi kina kaka pia kina dada nao huwa nao huwa wanaambianaga, kwa mfano utakuta vijana huwa wanaambianaga kua aisee yule demu anajua majambozi au yule aisee...
kutokuwa na shule,mwanamke sio tu inakunyima fursa za kazi nzuri na kuwa na maisha mazuri...ila pia hata wachumba na mabuzi unapata yale ya low quality lol unapata mwanaume hana shule hana kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.