hivi wanaoandika 'LOLl' ni wanawake tu??

hivi wanaoandika 'LOLl' ni wanawake tu??

Titans

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2010
Posts
1,459
Reaction score
3,375
nimekua nikifatilia comments nyingi za watu facebook na hata huku JF..na hua nakutana na haya maandishi 'lol' kwa watu wengi..je haya maandishi yana hulka ya mwandishi ni mwanamke??nawasilisha..lolo teh teh teh.
 
LOL = anamaanisha amecheka kwa sauti/sauti ya juu......LOL!
Laughing Out Loud pia inatumika kama kifupisho cha Lots Of Love so sioni ujinsia hapo.
 
Kuna midume huwa wana andika
 
nimekua nikifatilia comments nyingi za watu facebook na hata huku JF..na hua nakutana na haya maandishi 'lol' kwa watu wengi..je haya maandishi yana hulka ya mwandishi ni mwanamke??nawasilisha..lolo teh teh teh.

Kwa vile wanawake wengi ndo wanatumia basi ni nikamsemo ka wanawake
 
Kama ungekua umefuatilia ukweli usingeuliza ulichouliza kwasababu unatumiwa na jinsia zote ila sio "watu" wote.
 
LOL = anamaanisha amecheka kwa sauti/sauti ya juu......LOL!
Laughing Out Loud pia inatumika kama kifupisho cha Lots Of Love so sioni ujinsia hapo.
asante umekua mtu wa kwanza kuchangia na ukamaliza kila kitu...vinavyofuata na mbwembwe tu!!
 
kwa jinsi ninayofahamu mimi lol ni alama ya kuonyesha mshangao kama ilivyo sisi tunavyosema haaaa!!
 
Hiyo ni slang na haina tofauti na maneno Kama loh! Au hee! N.k soma dictionary za kwenye mtandao utaelewa vizuri zaidi.
 
Naona wengi hata fb wanatumia 'lol' kwenye matumizi ambayo kimsingi yanahitaji 'loh!' tunayoitumia uswahilini maana wanatumia kwenye sehemu zisizochekesha na hata hiyo 'loh!' ya kiswahili wanaitumia zaidi wanawake. Na kama unakuwa unachekacheka sehemu zisizochekesha na we ni mwanaume tukueleweje? Kwa hyo mazingira flani yanafanya tuipe 'lol' jinsi ya 'ke'.
 
Kutumia abriviations ni dalili ya uvivu wa ki fikra.
 
Back
Top Bottom