Napenda kuona mtu ............

Napenda kuona mtu ............

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Posts
55,029
Reaction score
59,684
[h=6]1. Aking'arisha viatu wakati anaenda kupiga passport size( picha),
2. Kakaa kiti cha mbele... karibu na dereva halafu anamwambia konda shusha,
3. mtu akimwamsha mgonjwa ili ampe dawa ya usingizi,
4.Mtu akipigiwa simu halafu anaangalia balance yake
5. Mtu akitafuta remote ya TV for ten minutes wakat TV ipo karibu yako,
6. Mtu akipunguza sauti ya radio ili usome sms
[/h]....SI....
 
huku chit chat hakunaga mastress
..............take a close look......ndovu
 
..napenda kuona mtu akitafuta ndala ya mguu mmoja wakati ameibania kwenye makwapa!!
 
Una nawa mikono kwa sabuni kabla ya kwenda chooni.
 
[h=6]1. Aking'arisha viatu wakati anaenda kupiga passport size( picha),
2. Kakaa kiti cha mbele... karibu na dereva halafu anamwambia konda shusha,
3. mtu akimwamsha mgonjwa ili ampe dawa ya usingizi,
4.Mtu akipigiwa simu halafu anaangalia balance yake
5. Mtu akitafuta remote ya TV for ten minutes wakat TV ipo karibu yako,
6. Mtu akipunguza sauti ya radio ili usome sms
[/h]....SI....

This is,the best thread kwa mwezi Januari!
Ha ha ha ha haaa....
 
Back
Top Bottom