Muuza Sura
JF-Expert Member
- Aug 1, 2011
- 1,985
- 1,345
hizi sehemu mbili nazikubali sana kwa mishemishe za raia wake!ningependa kujua kati ya kino na sinza wapi kwa wajanja?na sababu za kuikubali sehemu husika!
kwanza hongera, ID yako na AVATAR vinaendana...tukirudi kwenye mada, ujanja wangu, unaweza ukawa upupu kwa mwingine...so kila sehem ina ujanja wake na watu wa eneo husika wanajikubali.hizi sehemu mbili nazikubali sana kwa mishemishe za raia wake!ningependa kujua kati ya kino na sinza wapi kwa wajanja?na sababu za kuikubali sehemu husika!
Wajanja Mwanza.
Siku izi wajanja wa kweli wapo Tbt kwa wala bata,kino na sinza ilikuwa zamani.
kwanza hongera, ID yako na AVATAR vinaendana...tukirudi kwenye mada, ujanja wangu, unaweza ukawa upupu kwa mwingine...so kila sehem ina ujanja wake na watu wa eneo husika wanajikubali.
Wajanja Mwanza.
TBT napakubali pia mkuu kuna wana nawakubali wabishi kale!kuna bingwa wa kuitwa sossy na tobby hao bata ndefu kitambo!