Wimbo wa taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wimbo wa taifa

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by amiride, Jan 31, 2012.

 1. a

  amiride JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 205
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Habari za leo kwenye jamvi

  Nashindwa kuelewa wimbo wetu wa taifa huanza kwa MUNGU IBARIKI AFRIKA THEN MWISHO NDO HUJA KUITAJA TANZANIA, ninachojaribu kujiuliza hivi nchi nyingine za kiafrica nyimbo zao hulitaja bara la AFRICA? au ni sisi TANZANIA naombeni kufahamishwa
   
 2. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  umechakachuliwa-ulikuwa mzuri kipindi ulipokuwa unaimba Mungu ibariki Tanganyika
   
 3. S

  Senator p JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2012
  Joined: Oct 27, 2011
  Messages: 283
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TIGO(sote ni ndugu)
   
 4. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Tukitanguliza Tanzania, then Africa, what's the benefit for us ? As a Tanzanian's !
  Haitusaidii madaktari kuacha mgomo, wala haitatuboreshea elimu bora kwa watoto wetu.
  Laiti ungeniambia tukitanguliza jina Tanzania Tanesco mgao wa umeme unaisha ningeunga mkono hoja.
   
 5. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Mkuu hapa umeniacha hoi yule aliyeutunga aliutunga mahusisi kwa ajili ta Tanganyika sio Tanzania, huyu aliyeuchakachua sijui ni nani
   
 6. S

  Suby Mushi. Member

  #6
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 28, 2012
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  umeona eeh, mi nadhan nlshasahau ht mistar yake mana unanboa as ushapoteza uhalisia
   
Loading...