Shida kutumia JF bila link ya 'New Posts'.

mkuu wangu dingiswayo hii kitu haipo na imepoteza mvuto wote wa JF.....mashindwa hata nisome nini hapa JF sijui hawa jamaa waliitoa kimakosa ama vipi. i hope invisible wataona hili badiko lako. au mafisadi wameiiba
 
Mtakatifu afadhali umeona aise
Maana inapoteza mvuto kabisa wa kuingia humu
Maana hujui uanzie wapi
Ile ilikuwa inasaidia sana kujua unataka usome nini au uchangie nini
 
Makengeza matupu
Yaani kitu hii ya kupotea na kurudi halafu ukiangalia post mara imepotea mara imerudi full makengeza
Warudishe ule utaratibu wa zamani bana
 
jamani, .................hawa jamaa wa JF mambo gani tena haya??.................... madoido yamezidi sasa..................
 
Rock unajua Toka asubuhi sijapata bahati ya kucheka but hapa nilipo machozi yananitoka kwa kucheka teh..........teh.............tehhhhhhhhhhhhhh,mbavu zinauma jamani inatosha kuchangia jii post wengine tutaumwa
 
Mkuu hawa jamaa wanatufanya tuwe na makengeza bana
post imekuja sekunde imepotea ukiingalia kama unaiona mara inapotea inashuka chini mara inapanda juu
Kama mchezo wa Tom na Jerry bana
 
mods warudishe ile ya zamani
hii inaumiza na sioni faida yake kabisaa

mbwembwe zisizo na maana
 
Yaani nyie admins sio wasikivu kabisa! Kwa nini mpaka sasa hamjasema chochote kuhusu haya mabadiliko?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom