Wazee wa mji na Vichaa wa mji wa Jf !

Wazee wa mji na Vichaa wa mji wa Jf !

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Awali ya yote nianze kwa neno :
Zamani enzi hizo nilipokua nikikaa kwenye mazungumzo na wazee, hasa wenye rika la Babu au Bibi zangu nakumbuka walikua wakisema, HAKUNA MJI USIOKUA NA WAZEE ! kwa nyakati tofauti pia nilikuwa nikiwasikia wakisema HAKUNA MJI UNAOKOSA VICHAA WAKE !
Ni kitu kilichozooleka sana (Common) kukisikia masikioni mwetu mara kwa mara.
Maneno kama :
> Wiki ijayo mkuu
wa Nchi
ataongea na
wazee wa mji .... na kama ikiwa
Dar, basi itakua
Diamond jubilee au Anatoglu n.k
Kwa upande wangu yamenijia mawazo muda mrefu, kwamba hapa Jf mfano wake pamekaa na vigezo vingi vinavyoashiria kama ni mji flani hivi.
Mji ambao mimi leo nikiambiwa niteue wazee 20 hapa Jf, wawakilishe Jf kwenda kuhutubiwa au kuongea na Mkuu wa nchi, ingenipa taabu sana.
Taabu hiyo ingesababishwa na kua wazee wenye sifa za kuwateua ni wengi, na idadi inayotakiwa ni ndogo.
Hata hivyo kwa niaba ya hao wengi (kuzingatia Seniority)
Ningewateua wafuatao :
1. Ngambo Ngali
2 Tanmo
3 Mzizi Mkavu
4 Ndahani
5 Uporoto
6 Nyani Ngabu
7 Preta
8 Mbu
9 Lizzy
10 Kichuguu
11 FirstLady 1
12 Mr. Rocky
13 Belinda Jacob
14 Kigarama
15 Bak
16 Companero
17 Mwanakijiji
18 Kwetu ni kwetu 19 The Boss
20 Oxlade Chamberlain Je ? Wewe unaesoma Thread hii unaambiwa Taja VICHAA unaowaona ama kuwafikiria wana vigezo vya Uchaa hapa Jf (kuzingatia maudhui ya Post wazitoazo au uchangiaji wao wa mambo yaletwayo katika mji huu wa Jf , ungewateua akina nani ?
 
Ngoja kwanza nipige kitimoto yangu. Nitarudi baadae kidogo
 
Nashawishika nianze kuvujisha angaa dondoo finyu !
Kwamba hano- hano kwenye uzi huu, kwa wale Jf Membars, wasiovaa miwani ya mbao kwa mbaaaali wataanza kuwatambua "Membars Micharuko" kwa style ya watakavyochangia uzi huu !
Kwa mahesabu yangu nilishahisi haitakua taskwork kuwatambua !
 
Nashawishika nianze kuvujisha angaa dondoo finyu !
Kwamba hano- hano kwenye uzi huu, kwa wale Jf Membars, wasiovaa miwani ya mbao kwa mbaaaali wataanza kuwatambua "Membars Micharuko" kwa style ya watakavyochangia uzi huu !
Kwa mahesabu yangu nilishahisi haitakua taskwork kuwatambua !

Mcharuko namba moja ni Kongosho ngoja nimsubiri
 
Mcharuko namba moja ni Kongosho ngoja nimsubiri

Kuna fununu ambazo hazijathibitishwa kua Kongosho alishapona.
Kwamba alipelekwa Bagamoyo ikashindikana !
Pemba akapata ahueni !
Sumbu'anga ndiyo akaponea !
 
Naogopa ban...

Wala usiogope Ban Dadaangu, hatukanwi Membar hapa ! Tuko katika sensa ya kuwatambua ndg zetu wenye matatizo kama
Mcharuko
Uchaa
Mtindio
Wehu
Mwezi Mchanga
Punguani
Mchelemchele
Chenga
Pasua Kichwa
Machizi
Ubaridi
n.k n.k
 
mie mcharuko kuanzia kiunoni kuja kichwa cha kichwani

sasa wee na judge mcharuko kuanzia kiunoni hadi magotini, khah!

Kwenye kiuono hapo weka kwanza nukta. Unavyokitingishaga wakati wa kuongea
 
Back
Top Bottom