aaaaaaaaaarrrghhh...hili tangazo la startimes linaboa bana!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

aaaaaaaaaarrrghhh...hili tangazo la startimes linaboa bana!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by BAGAH, Jan 30, 2012.

 1. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  huwa najiuliza sasa kanumba anacheka nn, au kuna nn cha kumcheksha namna ile katika lile tangazo la startime?
  kiujumla tangazo linaboa,..nimeshazoea liktokea tu, nahama channel, au nafuata maji ya kunywa...
  au mwenzangu unalipendagga!~!?
  nalimiis nakulikumbuka sana tangazo la serengeti serengeti!!!la masudi kipanya...lile ndio tangazo, ni la zaman ila halichoshi...
  au kwakuwa ni la pombe?..hahahaaa....maana matangazo ya pombe kiukweli yanavutia...
  ww unalipenda/kulichukia lip?
   
 2. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Nasikia anapenda sana nyota(star) labda lingekuwa tangazo la moontime asingecheka cheka.

  Au ana chekelea?
   
 3. Ralphryder

  Ralphryder JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 4,588
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Yani uliponikumbusha tangazo hili almanusura nitapike mtori wangu wa moto ninaokunywa sasa ivi, aaaagh! Sijui tangazo gani baya namna hiyo!
   
 4. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  duh mkuu umenichekesha na zaidi nimecheka kwa sauti hadi walioko pembeni wameshtuka...:lol: hiyo kali!!:lol:
   
 5. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mbona hilo tangazo linalalamikiwa sana tangu lini sijui. . . wahusika hawajagundua halipendwi walitoe?
   
 6. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  ifakt ni outdated!!!zawadi ya xmas hadi leo tunakaribia february...
   
 7. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  mkuu ukijivuta kidogooo, utaukuta ukweli...
   
 8. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #8
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Dah.. Unajua afadhali nyie mnaoliona majumbani, mi ninakafremu kangu pale Mwenge, basi mnakajua kale katv pale mataa. Hawaishi kukaweka. KANABOA.. kwanza ting ndio nn? au wana advtse x-mass ya 2013
   
 9. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #9
  Jan 30, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  tafadhalini bana mnanichefua
   
 10. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #10
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Aisee ID yako inaniacha hoi
   
 11. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #11
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  i was about to ask...lols, cjui ni me au ke?
   
 12. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #12
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Halafu halina maana tena hizo sikukuu si zimeishapita.
   
 13. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #13
  Jan 30, 2012
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Kama lina kuboa lipotezee tu, likitokea zima tv. Nadhani hili liko ndani ya uwezo wako. Pole sana mkuu!
   
 14. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #14
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Umeona eh inabidi atuambie
   
 15. Jungumawe

  Jungumawe JF-Expert Member

  #15
  Jan 30, 2012
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 246
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  hawa star times wachovu hawafai tangazo hilo hilo ni la kipumbavu sina sababu ya kuuma maneno juu ya tangazo hilo tunaomba lifutwe mara moja
   
 16. n

  nyuki dume JF-Expert Member

  #16
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 438
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Kwa kifupi tangazo hilo linaboa mno,
   
 17. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #17
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  hivi unajua ni mara ngapi lile tangazo linaoneshwa ukiwa unaangalia kipindi kimoja tu?sasa nitafanya kazi ya kuwasha na kuzima tv?au na ww ni mdau wa kanumba mzeiya,...?
   
 18. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #18
  Jan 30, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kanumba anachekeshwa na vikatuni vya Tom and Jerry, Tangazo linaongelea kujitangaza startimes. mie ndio nilivyoelewa vile utakaponununua startimes utacheka cheka kama Kanumba.
   
 19. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #19
  Jan 30, 2012
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Mmmh! we ni she or he?
   
 20. Mimtamu

  Mimtamu JF-Expert Member

  #20
  Jan 30, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 341
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimewasoma wakuu! ila, nataka kujua kwanza why asking ths?
   
Loading...