Nimenuniwa na laazizi hapa nisaidieni

Nimenuniwa na laazizi hapa nisaidieni

nitonye

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
7,349
Reaction score
3,909
Nimeleta uzi huu hapa ili nipate majibu ya haraka, laazizi wangu hapa ameninua kalala mzungu wa nne kisa eti ameniona ninachat kupitia JF
 
afu leo nimemwona mtu kaa wewe
eti anaendesha gari
nikalihurumia hilo gari
akati mie nimesimama kwenye kifodi
 
mwambie ajiunge
afurahie uhuru

Tatizo anataka kila ninachoandika basi yeye akione kitu ambacho sikubaliani naye hata kidogo. Matokeo yake anadhani nachati na wachumba
 
ni kweli unachat na wachumba
si unamcheki kaba?

Tatizo anataka kila ninachoandika basi yeye akione kitu ambacho sikubaliani naye hata kidogo. Matokeo yake anadhani nachati na wachumba
 
Kila kitu mnafanya siri ndo matokeo yake. inatakiwa mkeo au mumeo ajue ni nini unafanya wakat mwingine mwambie ona ninachat na yeye akipenda ajiunge. sasa anza kumpembeleza. mwambie jmos ntakutoa ukatembee mjini ununue unachopenda. siku ikifika jifanye kuna zarura huko job.
 
Ulikuwa unaendesha gari
afu eti linaenda
kidogo uvamie kifodi chetu

wee wamama walikuzodoa kama mpira wa kona

Teh teh si unajua tukiwa kwenye mavx hivyo vigari vidogo tunaviona kama baiskeli
 
Back
Top Bottom