nikipata hela

nikipata hela

tobycow

Senior Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
129
Reaction score
13
mwisho wa mwezi ndo huu siku ndo zinazidi kwenda maspid,je utapopata cha mwisho wa mwezi chako utakifanyia nini
 
mi ntaenda kuweka kwenye kibubu changu maana cha mwisho wa mwezi chenyewe macoin matupu..............
 
Mi ki laki changu nikipata. Nakopa elfu sitini nyingine napanda ndege naenda zangu arushaa kwa mjomba nikamuombe anikopeshe laki moja na nusu ninunue kitanda changu dodiii
 
  • Thanks
Reactions: Edo
Mi ki laki changu nikipata. Nakopa elfu sitini nyingine napanda ndege naenda zangu arushaa kwa mjomba nikamuombe anikopeshe laki moja na nusu ninunue kitanda changu dodiii
khaa....!!! ama we unajua matumizi
 
Naongezea kwenye akiba yangu ya fedha za kampeni. Nataka nigombee ukuu wa nchi nimegundua mimi ndiyo chaguo la wengi.
 
Mi ki laki changu nikipata. Nakopa elfu sitini nyingine napanda ndege naenda zangu arushaa kwa mjomba nikamuombe anikopeshe laki moja na nusu ninunue kitanda changu dodiii

vp bado upo A-Z?
 
Back
Top Bottom