Utaipata kwa Laki.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utaipata kwa Laki..

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by ZionTZ, Jan 30, 2012.

 1. ZionTZ

  ZionTZ JF-Expert Member

  #1
  Jan 30, 2012
  Joined: Oct 6, 2009
  Messages: 1,276
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  John alimwalika rafiki yake Fred nyumbani kwake kwa ajili ya dinner na vinywaji. Baada ya maakuli na wakati vinywaji vinaendelea John, mkewe John (Lisa) na mgeni wao Fred walikuwa wanacheza karata. Kwa bahati mbaya karata ikaangukia chini ya meza, Fred alipoinama kuichukua akaona nyeti za Lisa ambae hakuwa amevaa chupi. Fred akahamanika kwa aibu, japo John hakukugundua.

  Baadae kidogo John alipokwenda jikoni kuchukua vinywaji, Lisa akamuuliza Fred: "Umekipenda ulichokiona?"
  Fred: "Ndiyo".
  Lisa: Utakipata kwa laki moja, ila iwe ijumaa mchana maana John huenda site visits kwa wateja wake kila ijumaa.

  Ijumaa ikafika, Fred akaja kwa John na laki na mchezo ukachezwa. John aliporudi jioni akamuuliza mkewe: "Fred alikuja?"

  Lisa akawaza:'Inawezekana alimuona akija au kaambiwa', akajibu: "Ndiyo, alipita hapa mara moja". John: "Safi, alikuachia laki moja?"

  Lisa akawaza: 'Huyu atakuwa anajua'. Akamjibu mumewe kwa upole: "Ndiyo, kaileta".
  John: "Fred ni mwaminifu sana, alikuja asubuhi ofisini akanikopa laki moja na akasema atapita nyumbani akuachie mchana".
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
  [FONT=&quot] [/FONT]
   
 2. jino kwa jino

  jino kwa jino JF-Expert Member

  #2
  Jan 30, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 769
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  mm mmm mmmm so kaliwa bure dug
   
 3. KANCHI

  KANCHI JF-Expert Member

  #3
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 3, 2011
  Messages: 1,547
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Mbona wana jf wanapenda sana kurepeat huu uzi?
   
 4. T

  Tasia I JF-Expert Member

  #4
  Jan 30, 2012
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 1,226
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  khahaaaa!
   
 5. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #5
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  remex single!:A S embarassed:
   
 6. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #6
  Jan 30, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  mods tunaomba adhabu kwa wote wanaorudia uzi bila sabbu
   
 7. SHIEKA

  SHIEKA JF-Expert Member

  #7
  Jan 30, 2012
  Joined: Dec 20, 2011
  Messages: 8,131
  Likes Received: 943
  Trophy Points: 280
  Yaani iko kama kutafuna big g iliyotafunwa tayari; no taste!
   
 8. Mndengereko

  Mndengereko JF-Expert Member

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 7,127
  Likes Received: 145
  Trophy Points: 160
  kweli akili mali na pesa si kila ki2
   
 9. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,852
  Likes Received: 1,292
  Trophy Points: 280
  mi naomba jf wafanye utaratibu wa kuwafuta umember hawa wanaorudia vichekesho.
   
 10. chapaa

  chapaa JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Feb 19, 2008
  Messages: 2,355
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Haina mashiko!
  ilikuwa inavutia mwanzo imesha chuja!
   
Loading...