Usintafute...

Usintafute...

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,351
Nimekucheki tu tangu jioni ile, sipendi ugomvi wa pili mwaka huu...
Usitafute nikakutangaza adui yangu namba 4 baada ya ujinga, umasikini na maradhi. Chochechonde ndugu, nina uzoefu wa kugombana katika nusu ya maisha yangu hapa duniani na nina domo chafu kama nimemung'unya kinyesi, sipendi ivo?
Tulikutana humu JF, naomba tuachane kwa amani bila kashfa wala matusi. Ulipofika panatosha ndugu...
 
Wewe andare wewe una matatizo gani leo eeh?unatumia cha arachuga nini?
 
Mkuu nani tena?

anajijua fika, najua huku hana ubavu wa kusogea, na akija tu nitajua kuwa jiwe la gizani ukisikia 'yalaa' ujue limempata!
 
Mie memiss wewe sana. Heri ya mwaka mpya....


Haya na huyo anaemtafuta mwenzie aache mara moja manake sio vizuri. Andare mpotezee bana.

natamani sana ningempotezea, ila mbwa ukimzoea ataingia na wewe mpaka masjid...
BTW: andare=mphamvu
 
Kumbe kuna siku mtu anataka kutukana bila mpango wowote!!!
 
Umebadili ID?

i wish ningekuwa nimebadili.
Kwa vile sheria za JF haziruhusu kuweka mazungumzo ya PM hadharani, nashindwa kukujuza imekuwaje. Ngoja niombe ruhusa kwa offended to be afu akinikubalia nitawajuzeni chenye kilitokea.
Sawasawa?
 
i wish ningekuwa nimebadili.
Kwa vile sheria za JF haziruhusu kuweka mazungumzo ya PM hadharani, nashindwa kukujuza imekuwaje. Ngoja niombe ruhusa kwa offended to be afu akinikubalia nitawajuzeni chenye kilitokea.
Sawasawa?
haya fanya mwaya ivo... then utujuze.
 
huyo!
Nilijua tu, ila si nilishasema hapa... Jiwe la gizani, mwenye ngeu yake ashapiga yowe!
Topic closed...

Kwa hiyo alokuchokoza ni Lizzy?!
We Lizzy tangu lini umeanza tabia hiyo?!

Na wewe Andare, usipende kumung'unya kinyesi, utaoza meno.
 
Back
Top Bottom