Nani angependa kutoka na mimi siku ya valentine? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani angependa kutoka na mimi siku ya valentine?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Michael Amon, Feb 1, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Valentine ndio hiyoooo inakaribia lakini mpaka sasa sijajua nitatoka na nani. Mpenzi wangu wangu ambaye nilitegemea ndio nitatoka naye tumeshaachana kwa sababu yeye alinitenda. Sio siri wana JF tokea nizaliwe mpaka sasa na midevu yote hii sijawahi kusherehekea sikukuu ya Valentine's Day na wala sijui utamu wake. Natamani nimpate my valentine ambaye atanifundisha na kunionyesha nini maana ya valentine's Day. Will you be my valentine?
   
 2. Golden Mpoleeee

  Golden Mpoleeee JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 572
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  una gari?
   
 3. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  pole sana YM nenda pale IFM au CBE kaombe utapata tu..
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  ntakupa ofa ya helcopter na patina wako.
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,112
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  mi nakushauri ubaki hivyo hivyo......
   
 6. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,187
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Preta umefanya la maana sana kumshauri
  Aendelee kumwamini Mungu wake na valentine sio lazima mpenzi hata wazazi wako waonyeshe upendo wa hali ya juu siku hiyo
  Tatizo tumeichukulia Valentine kama siku ya kutoka na wapenzi wetu au kwenda out tuu na wapenzi wakati hata mwanzilishi wa siku hiyo hakumaanisha hayo
  Onyesha upendo wako kwa wale unaowapenda na kuwajali na sio lazima awe mpenzi wako
   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  SIna gari. nina mkokoteni tu
   
 8. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #8
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Niende kwa hao watu wa free service? Si watanimaliza tu mimi?
   
 9. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #9
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Nitashukuru kwa hilo
   
 10. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #10
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 706
  Trophy Points: 280
  Kwa nini unasema hivyo? Kwani valentine's day ina shida gani?
   
 11. Golden Mpoleeee

  Golden Mpoleeee JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 572
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0


  bas subiri wa level yako.
   
 12. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,112
  Likes Received: 3,031
  Trophy Points: 280
  haina shida......shida ni wewe ndio unataka kuianzisha.....
   
 13. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2012
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
 14. happiness win

  happiness win JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,478
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 0
  Njoo utatoka na mimi. Itakuwa siku ya Jumanne. Jioni tutaenda kanisani kuna semina ya Neno la Mungu inaendelea kule. Tukitoka tutaenda popote utakapopenda kwa diner na kubadilishana mawazo, , then tutatawanyika. Uko tayari?
   
 15. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,187
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  Hii safi sana
  hata mimi ningependa sana kujiunga na wewe
  ni jambo la maan asana kufanya haya
   
 16. gambachovu

  gambachovu JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2012
  Joined: Dec 29, 2011
  Messages: 1,865
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  jidescribe jinsi ulivyo.. Si kila mtu anatumia picha za avatar..
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Valentines Day utatoka na nani jamani?
   
 18. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,187
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
 19. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2012
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,113
  Trophy Points: 280
  Kumbe ndo maana uliweka picha yako ili uuze kwa ajili ya VD? Na ulivyokuwa unaonekana kwenye picha nadhani utakuwa unatafuta mtu wa kukukamerunize siku hiyo ya VD.
   
 20. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #20
  Feb 1, 2012
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,187
  Likes Received: 563
  Trophy Points: 280
  TF mkuu upo
  mambo aise
  HAlafu naona wewe hapa unatafuta ugomvi na hilo neno la mwisho hapo ulilotumia
   
Loading...