Kopo la Chooni nina kinyaa nalo!!

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Kwenye nyumba nyingi za kupanga Uswahilini chooni kunakuwa na Kopo la kutawazia, na mara nyingi hutumbukizwa kwenye ndoo ya maji iliyopo chooni. Lakini mbali ya shida ya kulenga shimo la choo au kukwepa maji yanayotoka ndani ya shimo la choo, kero kubwa na kinyaa changu kiko kwenye kutumia makopo ya chooni kwenye kutawazia. Mimi huwa na toilet Paper mfukoni ili nikiibukia uswazi nisitumie kopo la chooni.

Sijui na wewe unatumia makopo unayoyakuta chooni kwa ajili ya kutawazia?
 
Pole sana!
Unajua anaetumia tissue , akikosa tissue ata'use gazeti, mifuko ya saruji with related matter !
Ukikosa vyote hivyo yanatumika majani !
Asikudanganye mtu katika issue hiyo hakuna subsitute instead of WATER.
 
Nimekukubali wewe ni Judgement kweli.
 
Pole sana!
Unajua anaetumia tissue , akikosa tissue ata'use gazeti, mifuko ya saruji with related matter !
Ukikosa vyote hivyo yanatumika majani !
Asikudanganye mtu katika issue hiyo hakuna subsitute instead of WATER.
Kwani huwa siogi? Toilet paper huwa zinatumika dunia nzima kama yanavyotumika maji. Tatizo la haya makopo ni jinsi gani wengine wanayatumia, huwezi jua mwenzio aliyekutangulia chooni ana aina gani ya kulishika na kulitumia hilo kopo!
 
So Afadhali hii mada ya kigarama imepata wachangiaji maaana mabrother men na masiter du wa JF habari za kifo, choo, vinyesi hawazipendi.

sisi huku porini tunachamba kwa nyasi nini Kopo
 
Ushasema marking scheme yako ni dunia nzima
Unataka tuseme nini???

Lakini kaa ukijua toilet paper haindoi rojo yote
Kama huwa unavaa mkwinto uangalie, utauona na ka lami kiaina
Ya nini kutembea na lami kutwa kucha ni bora nikamalizana na kadhaa hii kabla ya kutoka home au nivumilie hadi nirudi.

Hata hivyo, watu tunasahau kuwa hata vyombo vya chooni vinatakiwa kuoshwa kama vyombo vingine tu.

Kwani huwa siogi? Toilet paper huwa zinatumika dunia nzima kama yanavyotumika maji. Tatizo la haya makopo ni jinsi gani wengine wanayatumia, huwezi jua mwenzio aliyekutangulia chooni ana aina gani ya kulishika na kulitumia hilo kopo!
 
Pole sana!
Unajua anaetumia tissue , akikosa tissue ata'use gazeti, mifuko ya saruji with related matter !
Ukikosa vyote hivyo yanatumika majani !
Asikudanganye mtu katika issue hiyo hakuna subsitute instead of WATER.
Umenichekesha sana lol!
 
lakini kama kimba lako mara nyingi lina urojo urojo na jepesi ni issue bila maji ya kutosha . Lakini kwa wale wanafofyatua mbolea ngumu ngumu ama ya mbuzi hata tissue haina maana . mradi umechana msamba vizuri na hufanyi haraka kumaliza shughuli kitu kinatoka bila kuacha masalia kwenye tigo.....

Na hapo no tunakuja wenye suala lingine la aina ya choo. Choo Kizuri ni cha kuchuchumaa maana kinaruhsusu pressure ya kimba litoke vizuri zaidi kuliko ile ya kukaa.
 
Cha kukaa kinaniboa sana hasa kwenye maeneo ambayo hakuna maji ya kutosha, magonjwa haya ya kuambukizana kama kinatumiwa na watu wengi ni balaa!! Kwa kweli mara nyingi namaliza shughuli home kabla ya kutoka na Toilet Paper haibanduki mfukoni in case kama tumbo likinipindukia mitaani.
 
Pole sana!
Unajua anaetumia tissue , akikosa tissue ata'use gazeti, mifuko ya saruji with related matter !
Ukikosa vyote hivyo yanatumika majani !
Asikudanganye mtu katika issue hiyo hakuna subsitute instead of WATER.

Halafu inabidi utembee na kipande cha sabuni?
 
Sabuni ya nini tena kama unatumia Toilet paper vizuri? labda kama unatumia maji.

Nauliza swali hili kwa wanaopenda kutumia maji. Vyoo vingi au vyote vinavyoweka kopo la maji haviweki sabuni. Sasa ukishafinyanga hayo mambo kwa maji utasafishaje mkono. Au ndiyo mkono wa kushoto ni wa kuuogopa sana ukikutana na mtu?
 
Hapo kwenye mikono ndiyo swali langu hasa. Ni wangapi kwa kweli huwa wakitoka chooni huwa wananawa mikono yao vizuri, kwa sabuni au wakishamaliza wanaona yale maji ndiyo kila kitu?
 
ndo maana watu wengine wakitoka chooni mikono imelowa halafu unasikia harufu ya kinyesi kwa mbali..kumbe wanakuwa hawajanawa mikono kwa sabuni?!!!nimeelewa
 
Back
Top Bottom