Kufikiri kwa makalio | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kufikiri kwa makalio

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Midavudavu, Jan 31, 2012.

 1. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Waungwana nauliza, hivi kufikiri kuna watu wanafikiri kwa makalio huko siyo kufikiri kwa makalio?
   
 2. Bakulutu

  Bakulutu JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Nov 30, 2011
  Messages: 1,895
  Likes Received: 313
  Trophy Points: 180
  hivi wewe sio ndio mwenyewe kabisa...unataka tukudhibitishie nn sasa?? Kwamba sisi tunafikir kwa makalio!!!
  Shwain..
   
 3. M

  Midavudavu JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 285
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ukirusha jiwe gizani halafu ukasikia mtu analalamika ujue huyo litakuwa limempata. Nisamehe mkuu sikujua kuwa ni wewe halafu nakushukuru kwa kunijulisha kuwa pia wewe ni shwai...........
   
Loading...