Pretty
JF-Expert Member
- Mar 19, 2009
- 2,579
- 575
.......Wana JF nadhani mpo salama, leo nimeona si vibaya kuongelea mavazi haswa yanayoendana na umbo lako.
Kuna hii tabia haswa kwa wanawake wenzangu unajua kabisa tumbo lako limelegea na wewe unataka kuvaa kutokana na fashion, kwa nini usitafute shapewear?
.....Wearing clothes that are too tight lead to bulges and lumps....... sasa kama huwezi vaa nguo pana, basi vaa shapewear (spanx) ili uhide hiyo tummy bulge yako.
Na kuna wanaume nao kitambi kuleeee lakini anavaa shirt wala sio size yake, akifunga vifungo vinaacha nafasi tumbo linaonekana......... halafu ndani havai hata under wear tshirt ili afiche tumbo.
Hebu ngoja niishie hapa, bila hivyo nitajaza kurasa hapa. Sorry kama kuna mtu atakwazika ila ukweli ndio huo, kama huwezi fanya mazoezi ili upunguze tumbo au kulikaza basi jifunze kuvaa shapewear/spanx, ili uonekane nadhifu.