JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Nawatakieni usiku mwema wanajamii forum wooote....................................................., isipokuwa wale wanaofanya kazi ya ulinzi.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Zuzu alikuwa anaumwa, akaamua kuiweka picha ya doctor kwenye ukuta wa chumba chake. Ghafla akatembelewa na ndugu zake kisha wakamuuliza hii picha ukutani ni yanani? Zuzu akajibu: ni doctor wangu...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Jamaa mmoja alifall in love na dem flani. Asijue ataanzaje, akaenda kwao akampata yuwafua chupi.Akamwambia amletee maji yakunywa. Dem kuingia ndani, jamaa akainua ndoo na kunywa maji yaliyorowekwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Mdogo wangu wa kike kakileta nyumbani kibabu, anakitambulisha eti ndio mchumba wake. Wenyewe wanataniana bila ya kujali tofauti yao kubwa ya umri. Nilimsalimia shemeji mambo vipi, akaja juu eti...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Huyu waziri nae kazidi kupenda dogodogo,sijui anapata raha gani kwa watoto under age Sheria za makosa ya jinai za kubakana ipo wazi kabisa.......kinda ni yule ambaye hajafikisha miaka 18 na...
0 Reactions
132 Replies
10K Views
Ubingwa bye bye,nafasi ya pili bye bye, klabu bingwa afrika bye bye,kombe la shirikisho bye bye.. Mtakuwa watazamaji mwaka mzima, kudadadeki!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Te Amo, Asprin, Kwinini na wanachama wengine wote mko wapi, mbona kimya sana?
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau, hivi hili valangati la sahihi sabini lingekuwa chini ya bwana 6 ingekuwaje? Maana pamoja na tuufisadi twake ila alikuwa anaangalia wengi wanasema nini. Na kichwa cha habari kingesomeka...
0 Reactions
0 Replies
642 Views
Mchina mmoja alienda sokoni kununua doriani ila hajuwi doriani linavyoitwa kwa kiswahili na maongezi yalikuwa hivi:- Mchina: jambo? Muuzaji: sijambo karibu. Mchina: mm nataka ile kitu tamu lakini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Sina hamu na majukwaa mengine, lakini kila nikipita Chit-Chat nakuta topic zile zile. Nimewaletea hii 'brand new', ndio kwanza nimeifungua kwa box, na waranty card inayo. Karibuni!
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Refer above a heading. kama umejuwa Qn. jibu au chapa lapa. Ahsanteni kwakuwajibika na JF. Himezaminiwa na VODACOM TANZANIA
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kama jukwaa la Chit Chart likifungwa na MODS.......................!
0 Reactions
43 Replies
3K Views
The sixth sick sheik's sixth sheep's sick. I saw Esau kissing Kate. I saw Esau, he saw me, and she saw I saw Esau. I slit the sheet, the sheet I slit, and on the slitted sheet I sit. I'm...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kijana mmoja ali maarufu kwa jina la Sharo muuza jana ameaibika vibaya.Siku moja kabla alimtongoza mwanafunzi ,Sasa jana huyo mwanafunzi akaja na bible wakati wakipga STORY Akampokea Bible..Na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
.. be strong honey... lol A man escapes from prison where he has been for 15 years. He breaks into a house to look for money and guns and finds a young couple in bed. He orders the guy out of...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Tonight from 12:30midnight to 3:30 a.m cosmic rays entering earth from mars. So switch off your mobile at night. Don't keep your cell with you & put it away while you are sleeping because they are...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
A boy was driving down the street, was late 4 his exam & couldn't find a parking. Looking up towards the Heaven he said, "Lord, If u find me a parking space, I'll give up drinking...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Nasikia eti mwanaume akiweka Laptop alipoiweka Babu Apsrin ni Njia moja ya kusababisha Ugumba. Je hii ni kweli? Naomba Msaada kwa atakaweza kubandika Avatar ya Babu Asprin hapa ato Msaada...
2 Reactions
79 Replies
4K Views
Jamani naandaa timu ya JF ila sijajua ni akina nani watacheza namba ngapi.... Ila najua ladies wote watakuwa jukwaani kuhakikisha wanasema "Usiniumizieeeeeeeeee" Mi ntakuwa nakanyaga namba 9...
2 Reactions
236 Replies
12K Views
Napenda kuwapa tahadhali wanaofanya haya...... 1. Kufanya mapenzi bila kinga na hamjapima ni hatari kwa afya yako.... 2. Kutopenda kula ni hatari kwa afya yako... 3. Kutumia pesa nyingi...
5 Reactions
82 Replies
4K Views
Back
Top Bottom