SITA angemtosa Pinda?

SITA angemtosa Pinda?

Ng`wanakidiku

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2009
Posts
1,195
Reaction score
232
Wadau, hivi hili valangati la sahihi sabini lingekuwa chini ya bwana 6 ingekuwaje? Maana pamoja na tuufisadi twake ila alikuwa anaangalia wengi wanasema nini. Na kichwa cha habari kingesomeka "Sita amtosa Pinda"
Je wewe mtizamo wako upoje?
 
Back
Top Bottom