Yanga mwaka huu mtakufa kifo cha huyu Jamaa!..

Tugutuke

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
501
165
Ubingwa bye bye,nafasi ya pili bye bye, klabu bingwa afrika bye bye,kombe la shirikisho bye bye.. Mtakuwa watazamaji mwaka mzima, kudadadeki!
 

Attachments

  • Yanga .jpg
    Yanga .jpg
    17.4 KB · Views: 43
Yanga ndio kweheri, Azam wamechukua nafasi yao hata season ijayo na ijayo na nyenginewe itakuwa hivyo hivyo, SIMBA OYEE, SIMBA INATISHA
 
Useng.e tu, achaneni na maswala ya ajabu, ulisikia kila mwaka ndo Yanga washindi? Au ndo uoga!
 
Back
Top Bottom