Salamu gani nimpe huyu kibabu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Salamu gani nimpe huyu kibabu?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Apr 18, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,321
  Likes Received: 22,168
  Trophy Points: 280
  Mdogo wangu wa kike kakileta nyumbani kibabu, anakitambulisha eti ndio mchumba wake. Wenyewe wanataniana bila ya kujali tofauti yao kubwa ya umri. Nilimsalimia shemeji mambo vipi, akaja juu eti namkosea heshima, eti kwanini simpi stahili yake ilhali umri wake ni sawa na baba yangu.
  Kesho yake nikasalimia shikmoo mzee wangu, dada yangu akanijia juu eti namnanga mchumba wake kuwa ni mzee. Niko njia panda, huyu babu shemeji nimsalimie salamu gani ili dada na mpenzi wake waridhike na salamu yangu?
   
 2. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,948
  Likes Received: 23,830
  Trophy Points: 280
  Mlambe vibao. Shemeji kinamleta nini ukweni kila siku?
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  sasa wanalala je,
  na wewe unalala wapi,
  mmmmh, kwani wametokea wapi, afrika au ulaya.
   
 4. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,321
  Likes Received: 22,168
  Trophy Points: 280
  naona kisha zeeka akili
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,321
  Likes Received: 22,168
  Trophy Points: 280
  NGOJA NIWAPIGE CHABO LEO NIGHT- HAPA NYUMBANI KWANGU NDIPO WAZEE WANGU WALIPO, WAEKUJA MJINI KWA MATIBABU, WANAUGUZANA MAGONJWA YA UZEENI.
  Hiki kibabu Kiswahili tu, ila kimeuza nyumba zake mbili Kariakoo
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  BjBj naomba nikusalimu.... Ni mda mrefu mno nimekuona hapa jamvini. Naamini ni mzima wa afya.....
   
 7. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #7
  Apr 18, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  dada yako anafuata pesa hapo kama ameuza nyumb mbili kkoo.ila ao wazee wa kko wanapend dogodog sana.
   
 8. BAGAH

  BAGAH JF-Expert Member

  #8
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 4,523
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kama ni babu mwambie shkamoo babu...hata kama anakula dadayo!...
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  kwa hiyo huyo mdogo wako anaona muzee yake bado kijana..
  Basi muulize shemeji wapenda nikupe salam ipi?
   
 10. Prof Gamba

  Prof Gamba JF-Expert Member

  #10
  Apr 18, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 390
  Likes Received: 114
  Trophy Points: 60
  Habari ya saa hizi inatosha sana.
   
 11. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #11
  Apr 18, 2012
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,133
  Trophy Points: 280
  mpe haki yake bana...
   
 12. TANMO

  TANMO JF-Expert Member

  #12
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 8,919
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Duh? Hiko kibabu kinampa salam gani mdingi wako?
   
 13. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #13
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280
  Huyo babu atakuwa ana lake,ka vp mchunie, kwanza anakuumizia mdogo wako tu na tumbo lake kubwa.
   
 14. Amyner

  Amyner JF-Expert Member

  #14
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 13, 2011
  Messages: 2,404
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  swali zuri!
   
 15. F

  Fofader JF-Expert Member

  #15
  Apr 18, 2012
  Joined: Sep 28, 2011
  Messages: 838
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 45
  Msalimie kidhungu, Hi!
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  bujibujiii pole sana kwa njia panda kama vipi mliyebuyu tu akimaindi mwambieanakuzingua.. huyo kigrandfaza
   
 17. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #17
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hilo hawezi lijibu bujibuji hata siku moja ataishia kukugongea like..
   
 18. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #18
  Apr 18, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135

  Hahhahahah hahahahahah....lOL You have just made my day!

  Mbarikiwe nyote.
   
 19. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #19
  Apr 18, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,642
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  bujbuji heshima yako mkuu.... Sasa hapo kwenye red mkuu hata dada yako ameshaingia kwenye kundi hilo?
  halafu kwenye buluu dada yako ndicho kilichomfanya amgande hicho kizee.:heh:

   
 20. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #20
  Apr 18, 2012
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,100
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Hako kababu nyumba kalijenga na nani? Huyo dada yako aulize vyema habari za huyo kibabu, vizee vingine vinaua wake zao ili vitajirike. Dadako akae mkao wa kuwa ndondocha
   
Loading...