nimetumiwa hii msg...ni kweli?

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
Tonight from 12:30midnight to 3:30 a.m cosmic rays entering earth from mars. So switch off your mobile at night. Don't keep your cell with you & put it away while you are sleeping because they are quite dangerous rays
. NASA BBC NEWS
Please pass to dear ones.
As received..,
 
duh kuna mtu kanipigia toka iringa na yeye mama yake katumiwa sms km hiyo tena ana line ya tigo
 
duh kuna mtu kanipigia toka iringa na yeye mama yake katumiwa sms km hiyo tena ana line ya tigo

hii inaelekea imeanzia huko...maana mm kuna kiumbe imesafiri iko huko njombe ndo kaniletea hii maneno...
 
Hakuna ukweli wowote hapo. hiyo hbr haipo shm yoyote. Nina software kumi za hbr... Afu nani alisema mars inatoa COSMIC rays? hiyo haiwezekani hata kdg. Cosmic rays do not come from planets bali stars
 
Hakuna ukweli wowote hapo. hiyo hbr haipo shm yoyote. Nina software kumi za hbr... Afu nani alisema mars inatoa COSMIC rays? hiyo haiwezekani hata kdg. Cosmic rays do not come from planets bali stars

asante kwa mchango wako ndugu mjumbe!...
 
data za nini wakati nimechungulia nje nikaona Ozone imejaa tele huko mawinguni.

Labda upande wa merekani na china ndo imekuwa used kidogo.

hata ww injini ya jiji huna data?...basi hapa itakua uongo...
 
na mimi nimepata msg hiyo muda si mrefu,
lkn naona ni uzushi tu.
 
Back
Top Bottom