Ingekuwa vipi................?

Ingekuwa vipi................?

Mtambuzi

Platinum Member
Joined
Oct 29, 2008
Posts
8,809
Reaction score
15,443
Kama jukwaa la Chit Chart likifungwa na MODS.......................!
 
"Mlevi ukimpigia muziki wa furaha atacheza, ukimpigia wa msiba atacheza". Wana JF tu walevi wa JF, wakifunga hata majukwaa yote wabakishe moja tu, la Picha kwa mfano, tutakwenda kubanana huko huko.
 
Kama jukwaa la Chit Chart likifungwa na MODS.......................!

Ningetafuta all means possible niwe moderator, halafu nikiupta tu huo umoderator ​naku-BAN JF maisha yoote
 
Kungekuwa na jukwaa 3,Malalamiko,siasa na Kule kwa wakubwa
 
ningehamia jukwaa la utambulisho...niwe receptionist...sina habari!..
 
Hapa sio bure. wameiba PW ya Mtambuzi. Umevunja rekodi kwa thread yenye maneno machache kuliko zako zote.
 
Hapa sio bure. wameiba PW ya Mtambuzi. Umevunja rekodi kwa thread yenye maneno machache kuliko zako zote.
Umeona? Mtambuzi akiandika ni lazima aandika 1000 words!
Ila hapa post ya kuanzisha thread kaweka kafupiiii... but katam! lol

Mi ningeenda MMU. Kwangu mimi hakuna tofauti kati ya hii na MMU
Yote chit chat tu, full kujichanganya, full kujiachia! lol
 
Hapa sio bure. wameiba PW ya Mtambuzi. Umevunja rekodi kwa thread yenye maneno machache kuliko zako zote.
Kwa taarifa yako hiyo maneno kaweka mama yake CANTA.......................Mama Ngina..............!
 
Umeona? Mtambuzi akiandika ni lazima aandika 1000 words!
Ila hapa post ya kuanzisha thread kaweka kafupiiii... but katam! lol

Mi ningeenda MMU. Kwangu mimi hakuna tofauti kati ya hii na MMU
Yote chit chat tu, full kujichanganya, full kujiachia! lol
Lakini si ndo mnapenda kusoma hiyo maneno.......................................!
 
aisee..msiombee itokee..wanaweza kupima upepo wakalifunga .....hahahahahaha...nahisi kulia siku nzima..mwisho wa siku nahamia MMU tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom