Wapi wazee wa Infidelity?

Wapi wazee wa Infidelity?

Ha ha ha ha ha na wewe ulipotelea wapi aisee.

Ngoja waje umemsahau Fidel80 huyo ndo kiboko kwa small house aka mpango wa kando
 
jana hukuwepo, ulitakiwa useme leo.

Ambao walikuwepo jana watasema jana na leo.
dah Kongosho we monitor mzuri, mwl atakupa zawadi utakapo maliza shule, haya bwana wacha niseme ukweli 'janaa'.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom