Unafikiri anataka nini?

shakamohd

Member
Dec 28, 2011
49
6
Mchina mmoja alienda sokoni kununua doriani ila hajuwi doriani linavyoitwa kwa kiswahili na maongezi yalikuwa hivi:- Mchina: jambo? Muuzaji: sijambo karibu. Mchina: mm nataka ile kitu tamu lakini ina harufu mbaya...... jee kama ww ni Muuzaji unafikiri anataka nini? Utamchukuliaje!
 
Dah! hapo itakuw utata kdogo, mi nitamtel anitolee ujinga wake wa kichina coz ukicheka nae anawez kula hyo tamu inayonuka kwa kichina....
 
mimi namwambia chapa ndala katafute kwenu huko.. hapa bongo kila kitu kitamu kina sura nzuri na harufu yake ni muruaaaaaaahhh
 
mimi namwambia chapa ndala katafute kwenu huko.. hapa bongo kila kitu kitamu kina sura nzuri na harufu yake ni muruaaaaaaahhh

Hahahahaaaaaaa driller utakuwa hupo makini na biashara mana mteja ni mfalme
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom