Kama unambavu nyembamba usifungue hii

Mohammed Hamad

JF-Expert Member
Jan 17, 2011
3,988
1,304
Jamaa mmoja alifall in love na dem flani. Asijue ataanzaje, akaenda kwao akampata yuwafua chupi.Akamwambia amletee maji yakunywa. Dem kuingia ndani, jamaa akainua ndoo na kunywa maji yaliyorowekwa zile chupi. Demu Akaruka"Nini Sasa.??" Jamaa akasema,"Salaaala! Nyama Hatuli!. Supu Pia Tusinywe.??'"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom