babu ndoa yake kafunga na tbl
yeye mimba zake anaweka kwa machupa ya tbl tu
kitanda chake yeye ni kaunta
babu ndoa yake kafunga na tbl
yeye mimba zake anaweka kwa machupa ya tbl tu
kitanda chake yeye ni kaunta
Nasikia eti mwanaume akiweka Laptop alipoiweka Babu Apsrin ni Njia moja ya kusababisha Ugumba. Je hii ni kweli?
Naomba Msaada kwa atakaweza kubandika Avatar ya Babu Asprin hapa ato Msaada.
Hongera babu kwa kuamua kufanya uzazi wa Mpango
hana hata yai moja nimempekua saana hana kituHata bila laptop, Aspirin hazai, mayai aliyakaangia chips kitambo.
Ndo maana ame-invest kwenye biya.
Du! kwahiyo sasa hivi anakula chips kavu?Hata bila laptop, Aspirin hazai, mayai aliyakaangia chips kitambo.
Ndo maana ame-invest kwenye biya.
hana hata yai moja nimempekua saana hana kitu
Du! kwahiyo sasa hivi anakula chips kavu?
babu ndoa yake kafunga na tbl
yeye mimba zake anaweka kwa machupa ya tbl tu
kitanda chake yeye ni kaunta
hana hata yai moja nimempekua saana hana kitu
Kwa nani tena Ashadii?Jamani Vivian unavituko wewe.... Hio uliosikia nina wasi aise... itakua ina zalisha mbegu kua nyingi zaidi. Maana juzi kati hapa babu yako kazalisha mapacha....lol.
Ngoja aje nilimuona anashangaashangaa jukwaa la siasa.Yap, mwendo wa chips kavu tu.