JF Football team | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF Football team

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Erickb52, Apr 15, 2012.

 1. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #1
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Jamani naandaa timu ya JF ila sijajua ni akina nani watacheza namba ngapi....
  Ila najua ladies wote watakuwa jukwaani kuhakikisha wanasema "Usiniumizieeeeeeeeee"
  Mi ntakuwa nakanyaga namba 9 kuhakikisha ushindi...
  Match ya mazoezi Chit-Chat itacheza na jukwaa la Siasa...hebu tusaidiane kupanga kikosi...
  Bagah.jpg uwanja.jpg vuvuzela.jpeg
  Hapo ni vijana wa Chit-Chat wakijiandaa na katikati uwanja utakaochezea na Kulia ni Wanachit-Chat wakiwa na Vuvuzela..sijui ni nani ila nahisi ni naniii
   
 2. dubu

  dubu JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 18, 2011
  Messages: 3,072
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  mkuu timu y mwaka jana imevunjwa?
  namba 4 alikuwa anashika PAW.
   
 3. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #3
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Footbal sipo labda niwe refa ila ukipanga ya basketball niwaze..
   
 4. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #4
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,555
  Likes Received: 1,556
  Trophy Points: 280
  Hamna noma mi ntaanzia bench, ntacheza dk 15, cunajua pumzi cna? Mi nipo jukwaa la siasa. Ni kiungo mshambulia,napiga miguu yote!
   
 5. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #5
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mie huwa nacheza bek 3, nakaba hadi penati.

  nikipiga mpira naomba wafuatao waseme 'usituumizie, si uchawi mazoezi'
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh timu ya PAW ikifungwa mtakula bann hadi mkome hahahaaaa huyu awe kocha
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dah we hufai....utapendelea jukwaa la siasa....lol
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahaaaa nshakuona wewe ukitumia miguu yote utacheza dk 7.5 badala ya 15 teh
   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahahahaaaaaa wataje haraka...ila Amyner hakuhusu
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Umbea ni ugonjwa jamani
  unataka niwataje???


   
 11. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #11
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Mie mchezaji kiraka mkinipanga beki, NITAWACHEZEA NYUMA HADI mtafurahi,
  mkinipangia MBELE NITAWASUUZA na mtafurahia na pia niko mahiri kutia mabao ya kichwa!
   
 12. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #12
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Usipowataja ndo wewe utaonekana mmbeya...na watakuja kujitaja wenyewe...utasutwa...
   
 13. Ziroseventytwo

  Ziroseventytwo JF-Expert Member

  #13
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 3,555
  Likes Received: 1,556
  Trophy Points: 280
  Jukwaa la siasa tushaandaa jezi, tutapiga uzi wa maana! Hatuvai bukta,tutapiga 'topsi' la gwanda kama Cdm, uzi wa juu utakuwa na rangi kama bendera ya chadema. Ritz, Rejeo na pasco, hawatapangwa. Hawachelewi kupokea ki2 kidogo toka 'chit chat' c unajua tena wale ni magamba, na rushwa ni sehemu yao.
   
 14. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #14
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Lol
  Kauli zako tata... utakaa jukwaani na akina usiniumizieeeeee hadi utakaporekebisha kauli...lol
   
 15. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #15
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahaaaa
  Haya hivyo nilitaka kujua watacheza namba ngapi...dah bora wawe bench...kwanza rejao pia yuko chitchat so hafai kuwa na timu mbili....Ritz sawa anaweza cheza
   
 16. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Namba moja maziwa ya mgando.
  Namba mbili ODM
  Namba tatu Bishanga
  Namba nne Rejao
  Namba tano EMT
  Namba tano Babu DC
  namba sita Nzi
  namba saba Mbu
  namba nane Bagah
  Namba tisa Tanmo
  Namba kumi Nyani Ngabu
  Namba eleven The Finest

  Reserves:
  mtaly
  Judgement
  And son on

  hii ndo timu yangu ya mpira hapa jf.

  Washangiliani namba wani Husyn, mbishi huyu
  na wengine wote sasa.

   
 17. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 3,643
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Hahahaa. Labda watoe vijicent..
   
 18. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #18
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Rejao anachezea jukwaa la Siasa na wamesema hawampangi kwa kuwa yeye ni gamba hivyo anaweza kupokea rushwa....
   
 19. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #19
  Apr 15, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  uonezi huu hata benchi simo? Sijui ka kuna kiungo zaidi yangu waulize umiseta watawaambia.
   
 20. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #20
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh teh kumbe wakikupa unaweza haribu match...tutanchukua refa toka jukwaa la wakubwa....hapo nanii atahusika
   
Loading...