Onyo / Tahadhali......

Erickb52

JF-Expert Member
Oct 31, 2010
18,539
11,442
Napenda kuwapa tahadhali wanaofanya haya......
1. Kufanya mapenzi bila kinga na hamjapima ni hatari kwa afya yako....

2. Kutopenda kula ni hatari kwa afya yako...

3. Kutumia pesa nyingi kwenye starehe ni hatari kwa uchumi wako....

4. Kutumia lugha za matusi JF ni hatari kwa u-member wako(Bann itakuhusu)

5. Kutokwenda kanisani/msikitini hata mara moja kwa mwezi ni hatari kwa roho yako

6. Kutomridhisha mkeo faragha ni hatari kwa ndoa yako.

7...........
 
Kuchambia majani angali maji yapo, eti kisa unakumbukia kijijini kwenu.
Ni hatari kwa afya yako.
 
kupunyetika kila siku akati dada zetu wapo...ni hatari kwa afya ya uzazi wako!
 
kupunyetika kila siku akati dada zetu wapo...ni hatari kwa afya ya uzazi wako!

Hahahahahahahaa
Dogo utashtakiwa aisee.....
Kusema siri za wanaume hadharani ni hatari kwa usalama wako
 
Hahahahahahahaa
Dogo utashtakiwa aisee.....
Kusema siri za wanaume hadharani ni hatari kwa usalama wako

hawawezi kunishtaki..maana ndoa zao ziko matatani mno...nguvu kushney...mabango tu kwenye miti kila kukicha...ooh mganga sijui toka sumbawanga...amekuja dar kuwaongeza nguvu wanaume...aisay!
 
hawawezi kunishtaki..maana ndoa zao ziko matatani mno...nguvu kushney...mabango tu kwenye miti kila kukicha...ooh mganga sijui toka sumbawanga...amekuja dar kuwaongeza nguvu wanaume...aisay!

Hahhaaaa sababu ni mayai ya kisasa sio nanii
 
Kula tu bila kufanya mazoez ni hatari kwa afya yako . . . . . ! Kuangalia picha za utupu ni hatari kwa utu wako . . . . !
 
Kushabikia Arsenal na Yanga ni hatari kwa afya na akili yako...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom