Waziri fataki anapotuhumiwa kumbaka kinda Lulu............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Waziri fataki anapotuhumiwa kumbaka kinda Lulu.............

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Rutashubanyuma, Apr 14, 2012.

 1. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,846
  Trophy Points: 280
  [​IMG]  Sheria za makosa ya jinai za kubakana ipo wazi kabisa.......kinda ni yule ambaye hajafikisha miaka 18 na ukimshughulikia inakula kwako hata kama umeweza kumrubuni kwa minoti, usafiri wa nguvu, nyumba ya kupanga kwenye maeneo tajirika n.k...............................bado sheria inakutia hatiani ya kuwa yule kinda ulikuwa unambaka tu na kifungo chake ni miaka 30/ maisha na bila nafasi ya misamaha ya Raisi..............

  Kuna waziri mmoja wa wizara moja nyeti anatuhumiwa kuwa ndiye aliyempigia simu Lulu wakakutane Coco Beach...........na hiyo simu ndiyo iliyoleta rabsha na kusababisha nguli wa filamu hapa nchini Kanumba kuwa na wadhifa mpya wa mwendazake..............................

  Polisi wanazo hizi taarifa na yasemakana hata bosi wa waziri kesha binywa sikio.........waziri fataki si awe muungwana tu ajiuzulu na kuomba yaishe................au naye atadai hajiuzulu ng'o.............itakapofika mahakama kuu haoni ya kuwa siri zote zitamwagwa na yeye kuishushia hadhi serikali ya Jk kuwa inalea na kuhamasisha ubakaji wa watoto pale inapotoa nafasi za juu serikalini kwa watu ambao ni mafataki na wanatumia nyadhifa zao kurubuni watoto wadogo wakike na kuwafunza tabia mbaya.................na kufanya haya yote kwa kutegemea kulindwa na dola?????????????
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  weekend njema....
   
 3. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mtaje bwana hapa ndio jf
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,846
  Trophy Points: 280
  umebadili tabia au unashabikia ufataki?
   
 5. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,792
  Likes Received: 2,400
  Trophy Points: 280
  duu ruta weka basi hata ni wizara gani?tumdadavue sasa hivi!huo mchezo upo sana na umesababisha nyumba sinza kuwa ghali
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Acha masikhara wewe! Ni Nani huyo?
   
 7. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,846
  Trophy Points: 280
  tunampa shinikizo ajitaje mwenyewe maana ni mtu ana familia tena mke wake alimzalia mtoto wa kwanza juzijuzi tu bado tena ananyonya..................inabidi tumpe muda hata wa wiki mija akigoma tunalipua na picha zake pale COCO BEACH tutazibandika akiwa na kinda.............lol

  tunaihurumia familia yake...........................ndiyo maana tunampa muda ajilipue mwenywe au tutamlipua na bosi wale hatakuwa na maujanja ya kumlinda ila kumtimua tu........
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,846
  Trophy Points: 280
  jamani ana familia tumwonee huruma mke wake......................tumpe muda kwanza akaungame kwa mkewe khalafu kwa JK..........anayo wiki moja ya kufanya maamuzi akichelea ninamlipua.................kwa picha ......
   
 9. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,846
  Trophy Points: 280
  Bongolala.................ni mapema sana.................acha ahenye kwanza fataki huyu.......kazi yake ni kusambaza vvu kwa watoto wetu badala ya kuwahamasisha wakae madarasani na kujijengea maisha yao ya baadaye..............
   
 10. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  sema basi hata jimbo leke,kwan vp we mmmwage otherwise itakua jungu
   
 11. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  sa si umtaje we huoni kuwa kukaa kwako kimya wengi wazidi kuangamia? Usiwe kama mwakyembe bana.
   
 12. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,846
  Trophy Points: 280
  jimbo la nini labda kabila lake............................msukuma...............
   
 13. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  ....aaaaa!bwana yani hata ili mpaka uni-pm,mweke hadharani au ngereja nini?sema unaogopa nini kama vp ni-pm
   
 14. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,806
  Likes Received: 419,846
  Trophy Points: 280
  kabila lake ni msukuma.................sasa pekecha mwenyewe ukishindwa tusilaumiane........................mkewe anapaswa kuheshimiwa kwazna....................mhusika apewe muda wa kumjulisha mkewe mambo yanayomjia..........

  Colossians 6:25 "But he who does wrong will be repaid according to what he has done, and there is no partiality."
   
 15. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ....ivi "chit chat" maana yake ni kutupia kila matapishi eÚeehhh.....!
   
 16. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #16
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Msukumaaaa.....


  Wacha nisubiri... Soon nitamjuaaaaa!!!!!
   
 17. S

  Skype JF-Expert Member

  #17
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 7,284
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  Hii ndo picha inayonijia sijui kwa nini?
  1. Mzee wa nishati
  2. Mzee wa ujenzi
  3. Na yule wa kule nanihii wapi vile...
   
 18. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #18
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  huyu mzushi tu,anatuhabarisha kitaarabutaarabu.anashindwa nini kumtaja
   
 19. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #19
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  kwa stail hiyo hatoki mtu unajua kama na yeye anatafuta namna ya ku comethrough this problem? By the time unaweka taarifa zako hapa itakuwa too late to catch yo better do that now.
   
 20. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #20
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  huna lolote bwana haya peleka facebook
   
Loading...