eti jamani Hawa na Adam wasingezaliwa waarabu,wangezaliwa wachina si wangemla yule nyoka badala ya kulila lile tunda? na leo tungekuwa na maisha tofauti na haya!
Wana chitchat wenzangu naomba kura zenu kwa mrembo @charminglady katika kinyanganyiro cha miss chichat october
Nenda kapige kura kwenye thread ya kupigia kura iliyo anzishwa na Lundenga wa CC...
Hello Kottler Masoko,
We at JamiiForums would like to wish you a happy birthday today!
It's a special day in your life and NOT just a year older, but a year better!
Wishing you all the great...
Natumia nafasi hii kumpongeza Madame B kuwa miss chit chat. kama nlivyo sema mwanzo. Huyu binti alistahili kushinda hili taji.
Wale ambao kura hazikutosha msiumie sana kwani mwezi ujao huwezi...
Ukijiona MJANJA kwa kuanza kupendwa jua kuna FALLA katendwa.....
Na ukiona unaanza kutendwa jua kuna MJANJA kapatikana.
which means wewe ni FALLA
Don't worry just a love cycle
HOW SMART ARE YOU?
Sherlock Holmes was having an early walk. He had just crossed a bridge when he saw a crowd of people. Rushing to them, he found that they were crowding around a dead woman...
Chit-Chatters,
Jumamosi ya juzi nilikuwa kwenye Harusi ya jamaa yangu, nikashangaa kuona watu (zaidi wanawake) wanaomba wimbo mmoja tu toka mwanzo hadi mwisho, wimbo wenyewe ndio wenye maneno...
Wapendwa Chit-Chatters mabibi na mabwana! Habari zenyu bhana. Nachukua fursa hii kuwaomba kura zenyu wote na sitataja majina yenu ila kila mmoja kwa chansi yake nawaombeni jamani. Hata moderators...
Jamaa mmoja baada ya kufumaniwa akifanya mapenzi na mke wa mtu alikimbia uchi hadi nyumbani kwake.
Mkewe akamuuliza,"Kuna nini mbona uko hivyo?"
Jamaa akajibu,"Nimevamiwa na...
Kila aitazamie kesho yampasa kwanza aimalize leo. Acha nikudokeze juu ya maisha ya leo;
1. Ishi kwa upendo,
2. Ishi na furaha isiyo na mpaka.
3. Ishi kwa amani na kila mtu.
4. Usiweke mambo...
A man in USA see a dog attackng a girl,
He kicks the dog it dies
"Newspapr report:
"LOCAL HERO SAVES LADY FRM DOG"
Man says i'm not Amercan!
Report changed: "Foreign Hero Save girl from Dog"
Man...
hello
eti wadada na wakaka!! ipi ni nzuri zaidi!!?? kuwa na mchumba mnaelingana umri!??! au aliyekuzidi umri kwa wadada na uliyemzidi umri kwa wakaka!!??
:gossip::gossip::gossip:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.